HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari wakuu...ushuhuda wangu ni huu... Nimefanya written interview 6 na mbili pekee ndio nikaenda oral ...moja sikwenda kwa sababu nafasi ilikuwa moja ...ya pili hii nikaenda japo nafasi zilikuwa hazizidi 3...

kwenye maandalizi yangu written nilisoma Ile job descriptions kwa undani nikawa kama najiandaa na written ya kuandika (kumbe ni aptitude test)

Ilinisaidia kuwa na confidence na kujua vitu vingi....written yetu walikata marks za juu sana ila maajabu nilipita...written za utumishi nyingi sikuhizi wanatoa mitihani ya namna ya kutatua shida kwenye eneo lako la kazi (solution based exams)

Oral nilijiandaa vyema tu...siku ya mtihani tulikuwa wengi pia.. kabla ya kuingia oral nikiwa safarini nilikumbuka kusoma challenges ninazotarajia kwenye Eneo langu la kazi...boom kwenye interview lilikuwepo...nje ya hapo maswali mengine yalitoka kwenye job descriptions na nilijibu kwa usahihi zaidi maswali 3... Maswali mawili point 3 nilijibu kwa usahihi 2 sikuwa na zijua...

Sijapata Ile kazi niliyoombea na hazijatoka bado ila nimepata nyingine ambayo course yangu ndio inahusika nayo..

Mungu mwema msikate tamaa wakuu...kama hadi mimi nimepata wote mtatoka iwe direct au database...pia tujitahidi kuhudhuria interview....tupige msuli sana zile za taasisi ndio zinaweza kuwa njia nyepesi....mfano watu wa sheria mliomba watu 800 nafasi zipo 60 kupata kazi...

Lakini Kuna taasisi zinatoka kazi courses zote mnaruhusiwa endapo wewe wa law ukifika marks nzuri basi ukikosa kule unapata sehem nyingine ambayo inaweza kuwa nzuri zaidi...

Nisiwachoshe wakuu Mungu awabariki sana....tusiache kuomba maana kujiamini kunakuja kwa kujua Mungu ndio muweza wa yote... Mwaka huu sikuwa mtu wa kusali sana lakini mwaka jana niliomba zaidi ya mwez kwa mfungo hadi nikawa naona nimepata kazi kabisa

Leo ajira Ile imefika ..Mungu awainue na awatie moyo wapambanaji wote
 
Hahaha, Yaani nimeanza kusoma kabla hata siko shortlisted.

Kuna interview moja nilibakwa, Sitaki tena Fedheha mimi
Hiyo mzuri mkuu unapata muda mwingi wa kuweka mambo mengi kichwani na utakuwa unajiamini kidogo ukiwa full nondo ujue muda mwingine hizi saili za utumishi ni bahati tu kutoboa unashangaa ulivyosoma vyote ndio vilevile baadhi yake.
 
Habari wakuu...ushuhuda wangu ni huu... Nimefanya written interview 6 na mbili pekee ndio nikaenda oral ...moja sikwenda kwa sababu nafasi ilikuwa moja ...ya pili hii nikaenda japo nafasi zilikuwa hazizidi 3...

kwenye maandalizi yangu written nilisoma Ile job descriptions kwa undani nikawa kama najiandaa na written ya kuandika (kumbe ni aptitude test)

Ilinisaidia kuwa na confidence na kujua vitu vingi....written yetu walikata marks za juu sana ila maajabu nilipita...written za utumishi nyingi sikuhizi wanatoa mitihani ya namna ya kutatua shida kwenye eneo lako la kazi (solution based exams)

Oral nilijiandaa vyema tu...siku ya mtihani tulikuwa wengi pia.. kabla ya kuingia oral nikiwa safarini nilikumbuka kusoma challenges ninazotarajia kwenye Eneo langu la kazi...boom kwenye interview lilikuwepo...nje ya hapo maswali mengine yalitoka kwenye job descriptions na nilijibu kwa usahihi zaidi maswali 3... Maswali mawili point 3 nilijibu kwa usahihi 2 sikuwa na zijua...

Sijapata Ile kazi niliyoombea na hazijatoka bado ila nimepata nyingine ambayo course yangu ndio inahusika nayo..

Mungu mwema msikate tamaa wakuu...kama hadi mimi nimepata wote mtatoka iwe direct au database...pia tujitahidi kuhudhuria interview....tupige msuli sana zile za taasisi ndio zinaweza kuwa njia nyepesi....mfano watu wa sheria mliomba watu 800 nafasi zipo 60 kupata kazi...

Lakini Kuna taasisi zinatoka kazi courses zote mnaruhusiwa endapo wewe wa law ukifika marks nzuri basi ukikosa kule unapata sehem nyingine ambayo inaweza kuwa nzuri zaidi...

Nisiwachoshe wakuu Mungu awabariki sana....tusiache kuomba maana kujiamini kunakuja kwa kujua Mungu ndio muweza wa yote... Mwaka huu sikuwa mtu wa kusali sana lakini mwaka jana niliomba zaidi ya mwez kwa mfungo hadi nikawa naona nimepata kazi kabisa

Leo ajira Ile imefika ..Mungu awainue na awatie moyo wapambanaji wote
Umenitia moyo sana! Kumbe tunapaswa kuwa wavumilivu tu, hongera sana Mungu akulinde mwaya!
Be good!
 
Wakuu mimi nina swali.
Nimeomba ajira za TAEC ambazo tarehe ya mwisho wa kuapply ilikuwa 22 august.
Sasa mara ya kwanza nilituma maombi na nikaattach vyeti ambavyo sijacertify,, ila kabla ya tarehe 22 nikawa nimefahamishwa na jamaa yangu , ikabidi nipambane nikapate muhuri wa mahakama kwa vyeti vyote nikaja nikaviupload upya tarehe 22 majira ya mchana. Sasa swali langu kunauwezekano wa kuwa not shortlisted?
 
Acha papara tulia utaitwa
 
Back
Top Bottom