HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu nmeitwa interview mzumbe, sio mwenyeji wa moro natokea dar tu hapa. Naomba mwenye uzoefu au alieosma pale anipe utaratib wa lodge na usafir adi kule umekaaje na niwe na bajet Kama ya sh ngap ya kusavaivi Izo siku mbili au moja Kama written aitoenda poa...natanguliza shukran wakuu
Kada gani mkuu? Alafu hawa jamaa wameweka tu kwenye account majina hawajatoa
 
Kutoka DSM ad moro kwa gari 13k na SGR 13500
Kutoka msamvu stand adi soko la chief kingalu kwa boda elfu mbili au ukipanda bajaji ni 500 sema haifiki chief kingalu itabidi utembee kama dakika 2 kwawewe mgeni panda boda itakuwa rahisi unamwambia chief kingalu zinapo park gari za kwenda mzumbe mlali

Kutoka kingalu adi mzumbe main gate, au kanisanii au changarawe ni buku moja

Kuna lodge za 10 adi kumi na tano na kwenda mbele sema lodge kule n chache haswa na upande wa chakula ni affordable price

NB: Lodge nyingi zipo sangasanga n njia panda ya kwenda mzumbe na kwenda iringa so unaweza kulala ata apo sangasanga na morning ukaenda mzumbe na Boda au ukaenda kutafuta lodge maeneo karbu na chuo ni wewe

Kila la kheri
Shukran Sana mkuu umetisha Sana muongozo wako utanifaa sana
 
Back
Top Bottom