HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hatua hii ni kubwa tuombe wafanye link na Rita na TCU kwel na waboreshe siku ya usaili mtu aende na kitambulisho tu cha NIDA au namba ya NIDA basi
Ni kawaida tu sema hawajaaamua , Kwa upande wa Zanzibar, zanajira unaweka namba ya kitambulisho tu cha mzanzibar , vyeti vya kuzaliwa na elimu vyote wamelink mfumo na nacte, necta , tcu , zcra .
 
Attachments

  • Screenshot_20250817-225027~2.jpg
    Screenshot_20250817-225027~2.jpg
    71.2 KB · Views: 44
Dah wakuu, inakuaje mtu anabaki na cheti kina dvs 4 ya 30+ huko

Ah guys kuweni serious bhana 😂 sasa hata muajiri c lazima akuteme na naunga mkono akuteme

Tujikaze tupate hata hy 4 ya mwanzoni
punguza mihemko kijana kitu kama hukijui ni bora ukae kimya, 2013 matokea yake tofauti na ya miaka mingine
Div 1 ilianzia 7-17
Div 2 18-24
Div 3 25-31
Div 4 32-46
Div 0 47-49

Kwa taarifa yako baada ya kuwasilisha malalamiko wameweka sawa mfumo sasa hv unakubali
 
Kwa kuongezea screenshot hizi hapa,wengine huwa hawaelewi maneno matupu
Mbaga Jr
 
Attachments

  • Screenshot_20250818_075712_Chrome.jpg
    Screenshot_20250818_075712_Chrome.jpg
    484.2 KB · Views: 42
  • Screenshot_20250818_075528_Chrome.jpg
    Screenshot_20250818_075528_Chrome.jpg
    1.1 MB · Views: 37
Msaada tutani !!!💥💥💥
kwenye mfumo wa ajira portal university transcript inapatikana sehemu ipi ?
 
Msaada tutani !!!💥💥💥
kwenye mfumo wa ajira portal university transcript inapatikana sehemu ipi ?
Ingia academic qualifications
Alafu chagua level yako ya chuo click edit, then utashuka adi walipo andika end year so kwa chin yake kuna wameandka current attachment (2) so apo chin kuna ya kwanza cheti na ya pili n transcript kam unatumia sim swipe kwenda pembeni utaona transcript
 
Ok nimeiona!
Chakushangaza nilikua nimei upload awali baada ya mfumo kuboreshwa siioni!
 
Back
Top Bottom