Hapo n awasiliane nao tuu wamhadilishieKwema wakuu, Kuna mdau ame weka qualification ya advanced diploma kwa makosa huku yeye ana diploma, hivyo hawezi kuomba kazi za diploma lakini pia hawezi kuomba kazi za advanced diploma maana cheti hakimruhusu. Hii issue inatatuliwa vipi Ili qualification yake isome diploma maana huwezi edit kwenye mfumo.
Shukrani sanaHapo n awasiliane nao tuu wamhadilishie
😆😆 kuna waziri mmoja alikuwa anaitwa shukuru kuwambwa akaja akaharibu elimu akaweka anavyojisikia yeye,alikua na kauli mbiu yake inaitwa BIG RESULTS NOW😆😆Jamaa wanabadirisha mifumo ya elimu wanavyojisikia kama wanabadirisha chupi.........
Division IV ya 45?
Hii napiga inaita tu zaidi ya nusu saa haipokelewi0739160350 piga iyo me zaidi ya mara mbili zote wamepokea
Kwasasa naona Haina haja abadili cheti mengine yatakuja yenyeweHapo n awasiliane nao tuu wamhadilishie
Upload cheti tena kwamfumo wasasa hayo mambo unafanya mwenyew wamerahisishaKwema wakuu, Kuna mdau ame weka qualification ya advanced diploma kwa makosa huku yeye ana diploma, hivyo hawezi kuomba kazi za diploma lakini pia hawezi kuomba kazi za advanced diploma maana cheti hakimruhusu. Hii issue inatatuliwa vipi Ili qualification yake isome diploma maana huwezi edit kwenye mfumo.
Amiiin AmiinMungu akatufungulie milango mkuu.
🤣🤣🤣ndio niende kmya kimya ivoo ata shangwee nisiwe nalo kwelii,aaaai badooo nasugua benchi Engineerrahsully mie nikajua tayari umeshaokota pochi la mzungu 🤣 🤣 🤣
😂😂😂🤣🤣🤣🤣kwaherini majobless wenzangu mie ndo nakoroga sumu apa nataka ninywe nishachoka.imeandikwa danger toxic...
Usikate tamaa bado mitano yakupambania utumishi pia mtaa hautup mtu babu wa loliondo katoboa maisha akiwa na umir wamiaka 60+ kwhy ata ww muda utafika utahasau uliyopitia God is GoodNgoja nigeukie maisha ya kuajiriwa sasa nishakufukua vyet navyo vimezeeka miaka 16 havijaguswa.
Huku mtaani nako nyoso sana nimekaza sana ila hapajafunguka.
Mwakani Nina turn 40 years wazee.
Tuliofanya oral January mwaka huu ndy tumeshatolewa kwenye mfumo au bado tuendelee kusubir replacementAisee!!! Hivi mkuu oral ulifanya lini? Maana naona ni muda sasa unasubiri placement
Me nikionaga mtu kaenda oral basi nampa asilimi 90 % ya kutoboa,Tuliofanya oral January mwaka huu ndy tumeshatolewa kwenye mfumo au bado tuendelee kusubir replacement
Seriously!Me nikionaga mtu kaenda oral basi nampa asilimi 90 % ya kutoboa,
Kuwa na uvumilivu sasa na kuomba MunguHakika ipo hivyo
Usikate tamaa bado mitano yakupambania utumishi pia mtaa hautup mtu babu wa loliondo katoboa maisha akiwa na umir wamiaka 60+ kwhy ata ww muda utafika utahasau uliyopitia God is Good