Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
Nilijua tu kuna watu itawagomea ila inakubali wewe tia number ya mtahiniwa na mwaka basWakuu hili limekaaje kwa sisi tuliomaliza 2013 na kupata division 4 ya 34 na kuendelea naona mfumo unatugomea