Mmea Jr
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 986
- 2,302
Kweli mkuu ,, nisiwe muongoKumbe tupo wengi,, attachment zinasoma 2
Ila inayofunguka ni 1 cheti pekee
Mimi nimeenda kuangalia lakin nilipotaka kuangalia transcript
Imekuja sehemu haina kitu ..
Nikajua labda kwasababu vitu hivi tulisha upload mwanzoni kabla ya haya maboresho ya sasa basi haina shida hiyo transcript itakuwa humo humo japo kuwa haionekani😁😁 ( sijui kama nimewaza sahihi hapa )
Sasa ndiyo naomba nielekezwe kama sijaiona transcript natakiwa nichukue hatue gani ??
Je ni upload nyingine ??
Niache hivyo hivyo huku nikiendelea ku assume ipo humo humo japo sioni ??