HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hatua hii ni kubwa tuombe wafanye link na Rita na TCU kwel na waboreshe siku ya usaili mtu aende na kitambulisho tu cha NIDA au namba ya NIDA basi
Tekenolojia 🤣🤣😂 tunaenda huko mkuu ni saivi serikali inapamba kufanya mifumo isomane kama wameweza uku NECTA, NIDA nazani RITA NA TCU itakuwa simple
 
Nimeumia sana nafungua web nakuta jamaa wameondoka na not selected for oral wakaweka neno Completed.

Nimeumia zaidi baada ya kugundua hata ile interview niliyofanya oral yenye maandishi ya kijani "selected for oral" yaliyokuwa yakinipa matumaini ya kuwepo database nayo wamepita nayo likawekwa neno completed.

Sasa najiuliza hii completed kiswahili chake imekamilika" kuwa ndio kuliwa kichwa au nini maana hata not selected for oral imekuwa imekamilika.

Hii completed ni pasua kichwa mwenye a b c tujuzane
 
Weka mfumo wa desktop mkuu wacha wenge hakuna kilichoongezeka na kilichopungua mkuu hustler living muda utafika not to give up
 
Wanangu me ninahamu kuitwa tu hata hiyo interview maana sijawahi fanya interview utumishi.
Wazee wa TAEC(NUCLEAR PHYSICS) vipi nina wenzangu humu?
 
Glory to God
Sifa na Utukufu ni kwa Mungu katika Kristo Yesu.

Amenipa ushuhuda
Na Mimi nimeona jina langu Leo.

Mungu azidi kuwakumbuka na ninyi.
Mkuu hongera sana Nina maswali kadhaa hapa

oral ulifanya lini?

Pia kwenye web pakoje huko sehemu ya hiyo interview
(Kama uliangalia jana ilikuwa completed au selected for oral)
 
Mkuu hongera sana Nina maswali kadhaa hapa

oral ulifanya lini?

Pia kwenye web pakoje huko sehemu ya hiyo interview
(Kama uliangalia jana ilikuwa completed au selected for oral)
Oral Nilifanya tarehe 10 mwezi wa sita!

Jana niliangalia ilikuwa completed, na Kuna muda pia ilikuwa inagoma Mimi ku log in.

Leo nimeingia nikakutana na barua.

Jina la Bwana Yesu litukuzwe
 
Back
Top Bottom