HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii nazani inategemea na mkaguzi Mimi mwenyew vyeti vyangu jina la kati ni initial lakini mpaka naingia kwenye mrija wa asali sijawahi kuulizwa mambo ya Deadpool
Mkuu sijuu wao ni utumishi wep wanawakagua mimi majina kwenye vyeti vya shule yapo mawili kwenye kuzaliwa na nida yapo matatu toka nianze kufanya usaili sijawai kudaiwa iyo deedpoll sijui
 
Majina yako yapo sahihi, ila n vyema ukiwa na Deadpool mana utumishi hua wanatoa suprice bila kutegemea.
Niwe muwazi sinapata changamoto yoyote ,,, japo deadpoll nilikuwanayo just incase of any thing happens

Nimeudhulia na nimefanya mengine nimemuachia mwenyezi mungu

Lakin pia nawashukuru wadau wotee mliyojitolea kunipa ushauri wote mbalikiwe sana ..
 
Back
Top Bottom