Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,907
- 100,260
Fala mwenyewe we vipi wwAcha ufala, huu uzi ni kwa ajili ya kusaidia.
Acha huu upumbavu fasta.
Fala mwenyewe we vipi wwAcha ufala, huu uzi ni kwa ajili ya kusaidia.
Acha huu upumbavu fasta.
Sawa, wasalimie nyumbani.Fala mwenyewe we vipi ww
Haina shida. Mimi nipo kazini. Nina vyeti kama vyakoMfano Wakuu vyeti vyangu vipo hivi
Cheti cha kuzaliwa
Ezekiel Abdalla kisimba
Cheti cha form four
Ezekiel. A kisimba
Cheti za form six
Ezekiel A kisimba
Transcript
Ezekiel abdalla kisimba
Cheti cha chuo
Ezekiel Abdalla kisimba
Katika katika vyeti hivi kuna tatizo lolote ?? Maana kuna mtu kadema eti inabidi niende kwa mwanasheria kuapa kuwa A ni abdalla
ItTafuta deedpoll kutoka kwa mwanasheria
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?Mkuu kwa issue yako unaweza kuona kama hakuna shida lakini siku ya siku utumishi wanaweza kukushangaza usiamini.
Hapo hebu jaribu kufuata ushauri wa huyo jamaa aliekwambia uende kwa mwanasheria, ili uwe na amani. Vp cha NIDA majina yanasomaje
UnapotoshaTatizo lipo, mimi ni wakili kwa professional yangu, atafute Wakili aliekaribu nae amuandalie deedpol na akaisajili ardhi.
Mm namfaham Kuna mmoja alizuiliwa kuingia written kabisa kisa jina lake la kati Lina initia tu akaambiwa aende kwa mwanasheria,utumishi hawatabiriki n vyema ukajipanga vizuri wasijue wakakusuprizeUnapotosha
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
Yeah sure mkuu ata mm vyeti vyangu ni ivyo ivyo now nipo naenjoy asaliUnapotosha
Mimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
Humu watu wanapenda kuwajaza watu hofu zisizo na mpango. Mzee usikute tupo ofisi moja.Yeah sure mkuu ata mm vyeti vyangu ni ivyo ivyo now nipo naenjoy asali
Sawa. JipangeniMm namfaham Kuna mmoja alizuiliwa kuingia written kabisa kisa jina lake la kati Lina initia tu akaambiwa aende kwa mwanasheria,utumishi hawatabiriki n vyema ukajipanga vizuri wasijue wakakusuprize
Hiyo hiyo nafasi moja ndiyo yakoSasa hizi nafasi moja moja wakuu mbona zinakaa kimtego sana hawa jamaa bora si wasubili hata zifike hata 10 ndio watangazee aloo
Hii nazani inategemea na mkaguzi Mimi mwenyew vyeti vyangu jina la kati ni initial lakini mpaka naingia kwenye mrija wa asali sijawahi kuulizwa mambo ya DeadpoolMimi nimepita usaili wote hadi kupata placement vyeti vya sekondar vikiwa na initial. Sijapata hiyo changamoto.. Wewe unamfahamu aliyewahi kupata changamoto ?
Inaanza baruaswali kwa mliopata kazi hivi kati pdf kwenye web na barua kipi kinatangulia kutoka......?
Barua inaanza kuonekana kwenye akaunti yako.swali kwa mliopata kazi hivi kati pdf kwenye web na barua kipi kinatangulia kutoka......?
Inaanza barua
ok ngoja sasa niwe nachungulia tu kwenye akaunti maana hizi picha za kwenye web zinanimalizia mb tu....Barua inaanza kuonekana kwenye akaunti yako.
Lakini kufuatilia kwenye akaunti ni presha sana. Pale inavyo-load, matarajio yako ni kuona "PLACED AS", ila moyo utaanza kuuma ukiona bado ipo "SELECTED FOR ORAL".ok ngoja sasa niwe nachungulia tu kwenye akaunti maana hizi picha za kwenye web zinanimalizia mb tu....
Duh! Nimeomba TAEC.Kapambanieni zilizotoka ,by November au December mtakuwa kazini .
Mishahara safi.