HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Oh huku wengi waliandika na karatasi zilikuwa zinakusanywa baada tu ya kuingia ndani unawapa panelist..
Yeah, ilikuwa hivyo hivyo. Ukishaingia kwenye chemba ya kibano waliuliza maswali kadhaa. Halafu wakarudisha zile karatasi zilizoandikwa mada ya kufundisha pamoja na majina matatu ya msailiwa kama utaratibu ulivyo(Hakuna kuandika namba ya usaili kwenye oral). Ajabu ukumbi hauna ubao wala chaki, mtu anaambiwa fanya oral presentation ya Mathematics au Chemistry ndani ya dakika zisizozidi 5😁😁
 
Dah namshukuru sana Mungu na mimi leo nimelamba asali wizara x .. dah kweli leo na mimi Mungu ameniona jaman

Msikate tamaa Mungu yuko na atatenda.
Mkuu, Mbona mnatuchanganya.

Huku watu walisema barua unaanza kuiona kwenye akaunti yako afu baada ya siku kadhaa ndo inakuja ile pdf ya watu wote.

Ina maana ww hukuona barua yako kwenye akaunti yako kabla ya kuona jina lako kwenye pdf la ujumla?
 
akifuta app, akiramba asali barua inayotumwa kwenye sehemu ya placement ataidownload sehemu gani mkuu ?
Ndugu, unachokiona kwenye app ndo hvy hvy kipo kwenye web.

Wanaosema achana na app tena uifute wapo sahihi 100% mana app ipo outdated
 
Mkuu, Mbona mnatuchanganya.

Huku watu walisema barua unaanza kuiona kwenye akaunti yako afu baada ya siku kadhaa ndo inakuja ile pdf ya watu wote.

Ina maana ww hukuona barua yako kwenye akaunti yako kabla ya kuona jina lako kwenye pdf la ujumla?
Leo nimeona barua mida ya saa sita mchana , mkeka ukaja kutoka mida ya nane.
 
akifuta app, akiramba asali barua inayotumwa kwenye sehemu ya placement ataidownload sehemu gani mkuu ?
Akifika darajani atajua namna ya kufika. Hahitaji kuwa na app ili kupata barua yake, nimeandika kwa uzoefu binafsi sio kwa kusikia.
 
N kawaida lazima watu wa kujifanya wajuaji wawepo, Hata darasani Kuna wale wanaosoma Mada ya mbele zaidi ili kuja kujifanya wajuaji.

Kwenye app hakuna lolote la maana la kusema litatofautiana na web.

Kaa kwenye web na maliza kila kitu kwenye web
Mimi binafsi hadi wakati na-report kazini sikuwahi kujishughulisha na hiyo app. Sasa huwa nashangaa humu jinsi watu wanavyopeana hofu zisizo na msingi
 
Sometimes Ujinga n mwingi humu, utasikia kuna kuwa na selected kwenye app afu not selected Kwenye web 😂

Afu huyu mtu ukimwambia alete hizo screenshot, haleti, zaidi ya kupiga domo tuu ms kutia watu hofu zisizokuwa na kichwa.
 
Kuna wenye selected for oral na wengine adi placement kwa web ila kwa app kupo blank kupo.......nlichomuelewa yule mchizi alianzisha iyo debate ni kwamba ukiona kwa app wamesema not selected for ORAL na ni web uliitwa na ukafanya oral bas ndio ulifel..japo mpk Sasa SIJAONA mtu akisema kitu kama icho kimemtokea.

Ila kwa sabab Kuna Uhuru wa kusema bas tumwache aseme maybe ipo siku tutapata muafaka sahihi wa mtu anajuaje kafel oral ili aachane na expectations
 
Mzee, kuna vitu unachanganya.

Kuwa not selected for oral ni kwamba umefeli practical/written, na sio kwamba umefeli oral mana oral unakuwa bado hujaifanya.

Huwezi kuwa not selected for oral Kwenye app afu kwenye web uwe selected, hakuna kitu kama hicho.

Ikiwa selected for oral maana yake umefaulu practical/written hvy unaendelea na usaili unaofuata wa oral na selected for oral itabaki hvy hvy hata kama umefeli oral, utumishi walisema wataleta muongozo wa kujua kama upo kwenye database, wakileta hii ndo mtu utajijua ulifaulu au ulifeli oral ila ukipata hy kazi ndo utakuta imebadilika na kuwa placed.

Hayo mambo ya blank kwenye app ndo mana tunasema achaneni na mambo ya app, kila kitu fanyeni kwenye web mana huko ndo kuna updated zote na sio kwenye app.

Nimemaliza.
 
Hello wanajamii, kuna post walitoa TAWA sasa wanataka watu including waliosoma sociology ila nikiapply inagoma! Wao ndio wana kosa au mimi?
 
Mzee, kuna vitu unachanganya.

Kuwa not selected for oral ni kwamba umefeli practical/written, na sio kwamba umefeli oral mana oral unakuwa bado hujaifanya.

Huwezi kuwa not selected for oral Kwenye app afu kwenye web uwe selected, hakuna kitu kama hicho.

Ikiwa selected for oral maana yake umefaulu practical/written hvy unaendelea na usaili unaofuata wa oral na selected for oral itabaki hvy hvy hata kama umefeli oral, utumishi walisema wataleta muongozo wa kujua kama upo kwenye database, wakileta hii ndo mtu utajijua ulifaulu au ulifeli oral ila ukipata hy kazi ndo utakuta imebadilika na kuwa placed.

Hayo mambo ya blank kwenye app ndo mana tunasema achaneni na mambo ya app, kila kitu fanyeni kwenye web mana huko ndo kuna updated zote na sio kwenye app.

Nimemaliza.
Vipi mkuu kwa case ya watu ambao hawakufanya practical/written, wameenda moja kwa moja oral kwa wale wa kada nafasi za watu wachache unakuta web na app mwanzo status zilisoma shortlisted ila baada ya muda web status inasoma shortlisted na app status inasoma selected for oral
 
Back
Top Bottom