El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,075
- 6,481
ukiona wametoa miwili pamoja ujue kazi ipo...Leo kuna dalili za Mkeka kweli?
ukiona wametoa miwili pamoja ujue kazi ipo...Leo kuna dalili za Mkeka kweli?
Hata mimi kwenye vyeti vya taaluma yanaonekana majina mawili tu yaani Jina langu na lile la Ukoo. Kwenye NIDA yapo matatu na kwenye cheti cha kuzaliwa yapo matatu pia. Walipokagua hata hawakusema neno na hata kwenda kuhakiki vyeti kwa mwajiri haikusumbua.Majina??? Basi inategemea na kanda sie huku huwa tunakaguliwa vyeti vyote ndio ila majina wanaangalia cheti cha kuzaliwa na ID tu kama yanaendana maana ata yangu yapo hivyo hivyo na sijawahi kusumbuliwa popote!
naona Kuna watu wanaenda kukesha wakiwa na furaha iliyopitiliza....hongera kwa wote wanaozidi kuingia kazininaona na wakandaji wenyewe wamechukua watu..
aisee niko moto kila nikichek electrical kama sio artisan basi technician..🤣🤣naona Kuna watu wanaenda kukesha wakiwa na furaha iliyopitiliza....hongera kwa wote wanaozidi kuingia kazini
Asee! Me nasikiaga eti hazina database. Hivi kumbe inawezekana ukachukuliwa kwenye database ya TA ukapelekwa taasisi nyingine?Kuna mwingine kapata leo database TBA Kupitia interview ya Tutorial assistant hadi najuta kwanini sikwenda kwenye hizo interview.
kada zote zina database..Asee! Me nasikiaga eti hazina database. Hivi kumbe inawezekana ukachukuliwa kwenye database ya TA ukapelekwa taasisi nyingine?
Aaah, asante sana.kada zote zina database..
Wanaozidi kusogea mkuu....naimani tutaona majina yetu pia.aisee niko moto kila nikichek electrical kama sio artisan basi technician..🤣🤣
wacha tusubiri..Wanaozidi kusogea mkuu....naimani tutaona majina yetu pia.
Majina yako yapo sahihi, ila n vyema ukiwa na Deadpool mana utumishi hua wanatoa suprice bila kutegemea.Nida pia ni
Ezekiel abdalla kisimba
Okay acha tu nifuate ushauri wa jamaa tayari nimechukua usafiriki naelekea ofisi za mwanasheria
Mambo yasije kuwa mengi
Acha ufala, huu uzi ni kwa ajili ya kusaidia.Wanakagua cheti cha kuzaliwa na ID tu
oi TBC kuna mtu wa production siyo wewe kweli..?Acha ufala, huu uzi ni kwa ajili ya kusaidia.
Acha huu upumbavu fasta.
Soon tuu hapo nitakuwa mmoja wao.oi TBC kuna mtu wa production siyo wewe kweli..?
hawaelewekagi hawa yaani ni ovyo ovyo ukisema uwafatilie utaumiza kichwa cha msingi ni kufuatilia pdf tu mpaka kieleweke..Soon tuu hapo nitakuwa mmoja wao.
Nna received yao hapa ambayo Februari 2024 niliifanyia usaili, aisee roho inaniuma sana.
Kinachoniuma mno n kuona nafasi hizo zimetangazwa tena mana nakuwa nipo njia panda, je tuliobakia tulifeli wote au database ili-expire
Zmetangazwa kama re advertised auSoon tuu hapo nitakuwa mmoja wao.
Nna received yao hapa ambayo Februari 2024 niliifanyia usaili, aisee roho inaniuma sana.
Kinachoniuma mno n kuona nafasi hizo zimetangazwa tena mana nakuwa nipo njia panda, je tuliobakia tulifeli wote au database ili-expire
Hapana.Zmetangazwa kama re advertised au
Endelea kusikilizia lolote linaweza kutokea mkuu huku ukiendelea kuongeza receivedHapana.
Februari zilikuwa post 4 na wakachukuliwa hao wanne, ndo mwaka huu July wametangaza tena post 3