Tafuta deedpoll kutoka kwa mwanasheriaKwa wale mliokwisha fika oral jmn naombeni mnisaidi swali langu hapo juu👆👆👆
Tafuta deedpoll kutoka kwa mwanasheriaKwa wale mliokwisha fika oral jmn naombeni mnisaidi swali langu hapo juu👆👆👆
Mkuu kwa issue yako unaweza kuona kama hakuna shida lakini siku ya siku utumishi wanaweza kukushangaza usiamini.Mfano Wakuu vyeti vyangu vipo hivi
Cheti cha kuzaliwa
Ezekiel Abdalla kisimba
Cheti cha form four
Ezekiel. A kisimba
Cheti za form six
Ezekiel A kisimba
Transcript
Ezekiel abdalla kisimba
Cheti cha chuo
Ezekiel Abdalla kisimba
Katika katika vyeti hivi kuna tatizo lolote ?? Maana kuna mtu kadema eti inabidi niende kwa mwanasheria kuapa kuwa A ni abdalla
Nida pia niMkuu kwa issue yako unaweza kuona kama hakuna shida lakini siku ya siku utumishi wanaweza kukushangaza usiamini.
Hapo hebu jaribu kufuata ushauri wa huyo jamaa aliekwambia uende kwa mwanasheria, ili uwe na amani. Vp cha NIDA majina yanasomaje
Asante ndugu yangu ngoja nielekee kwa mwanaseheria anisaidie kupata deadpollTafuta deedpoll kutoka kwa mwanasheria
Vizuri, hebu fanya hivyo mkuuNida pia ni
Ezekiel abdalla kisimba
Okay acha tu nifuate ushauri wa jamaa tayari nimechukua usafiriki naelekea ofisi za mwanasheria
Mambo yasije kuwa mengi
Ni zoezi ambali linatumia muda mwingi?Vizuri, hebu fanya hivyo mkuu
Asante sanaVizuri, hebu fanya hivyo mkuu
Kwa mwanasheria mbona mapema tu sidhani kama hata nusu saa inafika, unless ukute kuna foleni ya watuNi zoezi ambali linatumia muda mwingi?
Tamka "Mwanasheria" na "Deedpoll ''Didpol" huandaliwa na kuthibitishwa na Mwanasheria au Hakimu kisha husajiliwa kwa Kamishina wa Ofisi ya Usajili wa Hati katika Wizara ya Ardhi. Ofisi hizi za Usajili wa Hati zipo katika kanda nane za usajili katika mikoa ya Dodoma, Mwanza, Moshi, Mtwara, Mbeya, Tabora, Dar es Salaam na Morogoro.Asante ndugu yangu ngoja nielekee kwa mwanaseheria anisaidie kupata deadpoll
Nafasi zipi?Ukiwa huna cheti cha jkt au immigration au police ndio huwez kabisa kuomba zile nafasi kumbe
Security officer mkuuNafasi zipi?
Apa avina tatizo sababu vyeti vingi vya form 4 na 6 tulitolewa kwa initial ya kati . Na usaili tunafanya kawaidaMfano Wakuu vyeti vyangu vipo hivi
Cheti cha kuzaliwa
Ezekiel Abdalla kisimba
Cheti cha form four
Ezekiel. A kisimba
Cheti za form six
Ezekiel A kisimba
Transcript
Ezekiel abdalla kisimba
Cheti cha chuo
Ezekiel Abdalla kisimba
Katika katika vyeti hivi kuna tatizo lolote ?? Maana kuna mtu kadema eti inabidi niende kwa mwanasheria kuapa kuwa A ni abdalla
Tatizo lipo, mimi ni wakili kwa professional yangu, atafute Wakili aliekaribu nae amuandalie deedpol na akaisajili ardhi.Apa avina tatizo sababu vyeti vingi vya form 4 na 6 tulitolewa kwa initial ya kati . Na usaili tunafanya kawaida
Wanakagua cheti cha kuzaliwa na ID tuMfano Wakuu vyeti vyangu vipo hivi
Cheti cha kuzaliwa
Ezekiel Abdalla kisimba
Cheti cha form four
Ezekiel. A kisimba
Cheti za form six
Ezekiel A kisimba
Transcript
Ezekiel abdalla kisimba
Cheti cha chuo
Ezekiel Abdalla kisimba
Katika katika vyeti hivi kuna tatizo lolote ?? Maana kuna mtu kadema eti inabidi niende kwa mwanasheria kuapa kuwa A ni abdalla
Majina??? Basi inategemea na kanda sie huku huwa tunakaguliwa vyeti vyote ndio ila majina wanaangalia cheti cha kuzaliwa na ID tu kama yanaendana maana ata yangu yapo hivyo hivyo na sijawahi kusumbuliwa popote!Wanakagua vyote had vyetii vya taaluma mkuu
Ile Ipo ajira portal ila utasubirishwa sanaUnatumia namba gani kuwapata mkuu
Mikeka yao n kam mvua za masika haina ratba. Mda ambao hautarajii kabsa ndio ynatokaLeo kuna dalili za Mkeka kweli?