HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu koz yangu ipo lkn inagoma ku apply
 
Attachments

  • Screenshot_20250810-124143_Chrome.jpg
    Screenshot_20250810-124143_Chrome.jpg
    180.2 KB · Views: 32
Nipende kuulza hawa MDA'S AND LGAS. Mwanzoni si walitoa nafasi za Afisa hesabu daraja la II, Je, kwa watu waliofanya usail adi oral wakapangiwa kazi na nwengine wakawa data base. So database waliisha kwa watu walio ingia oral ?? Naomba majibu maana utumishi wanasema hawawezi kutoa post kama kuna database inakuwaje kwa hawa pamoja na ma fundi
 
Jibu wanalo wao utumishi usijipe stress na si kila aliye sahiliwa anakaa database mkuu, kuwekwa database mpaka ifike ile alama 50 kwenda juu,hivyo uwepo wa database wanajua wao utumishi wanaoendesha hilo zoezi kama wapo au wameisha
We ukiona imetangazwa kama una sifa omba,anza maandalizi maswali mengine waachie wenyewe

Si hizo tu unazo sema kada nyingi zinatangazwa kila leo mfano hao ICT ukianza kujiuliza hayo utajipa stress maana uwezekano pia wanaoenda oral si wote wanapata 50% kwenda juu,mbaya zaidi alama za oral haziko wazi ni bora zingekuwa zinawekwa kwenye yako mtu unajua upo database au umeliwa kuliwa kichwa,hapo ata hilo swali ungekuwa unauliza maana unajiona upo database na nafasi inatangazwa ila kwa kuwa alama za oral bado ni siri,hilo swali jibu lipo kwao

Tafakari chukua hatua
 
Pamoja sana mkuu🫡
 
Nipende kuulza hawa MDA'S AND LGAS. Mwanzoni si walitoa nafasi za Afisa hesabu daraja la II, Je, kwa watu waliofanya usail adi oral wakapangiwa kazi na nwengine wakawa data base. So database waliisha kwa watu walio ingia oral ?? Naomba majibu maana utumishi wanasema hawawezi kutoa post kama kuna database inakuwaje kwa hawa pamoja na ma fundi
Na wao wanazipenda Posho mkuu..
 
AJira ya kwanza kuomba mimi kama BSC physics wazee na ina post 4 tu😃😃😃😃.
Utumishi kweli pamoto
Screenshot_20250811_184738_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom