HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
status zinabadilika kwene profile yangu mpaka nashindwa kuelewa.kuna status sjawai kuchaguliwa oral inaniambia seleced for oral na interview ishapita kitambo.hili litakua ni swala la kiufundi nimeamini na haliusiani na kitu chochote
Jina lako liko kwenye KANZI-DATA, hivyo umeitwa kwenye nafasi nyingine, Prepare yourself for the interview youngman.​
 
status zinabadilika kwene profile yangu mpaka nashindwa kuelewa.kuna status sjawai kuchaguliwa oral inaniambia seleced for oral na interview ishapita kitambo.hili litakua ni swala la kiufundi nimeamini na haliusiani na kitu chochote
Mkuu kwenye app sio?

Hii ikawe ishara njema kwako....nabaki mwenyewe huku sio muda
 
Aisere msaada tutani kuna nafasi ya Management officef 11 ya hazina wametoa ...na vigezo wanahitaji mtu aliyesoma pamoja na Accounting...Mie nimesoma.Bcom Accounting ..nikiapply inanikatailia..sijui shida itakuwa nini
 
Subiri job category ikae sawa utaomba na itakubali.
Kama una haraka sana badili MANUALLY
 
Wakuu, hii Ina maana gani?
Screenshot_20250810-113239_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom