HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hivi kwa wale walimu waliofanikiwa kufika oral interview

Kwa upande wa teaching aid ,, si unaweza kuianda nyumbani tu ukaitumia wakati wa presentation ??

Au hairuhusiwi kufanya hivi ??
Hakuna haja ya teaching aid.
 
Naomba kuuliza.
Kuna ndugu yangu ameitwa kwenye oral interview Kada ya Ualimi(economics), Kwa ambae ana idea ya maswali au maeneo ambayo huwa wanauliza maswali yao naomba anijuze tafadhali.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kwa kada ya ualimu ni:
Teaching methodologies
Assessment Tools
Lesson development stages
How to teach a certain subject ili mwanafunzi aelewe.
Causes of child's poor performance
Zingatia kila swali halipungui points 4.
Halafu cha mwisho ni uwasilishaji wa mada uliyoichagua. Pia zingatia haiba ya ualimu, usiende umevaa jeans na shati linaning'inia.
Cha mwisho, kila la kheri na karibu katika stress za kusubiri placement.
 
Asante sana mkuu.... Nahisi presentation Ina marks kubwa sana...chagua topic nzuri ujitahidi kuwasilisha kwa student oriented method (kuhusisha wale panelist) huyu aliepata anasema maswali mengine yalimsumbua ila presentation aliigiza anafundisha hadi panelist wakabaki wakacheka.... Mungu akakusimamie
Kuna watu walifanya presentation kwa kufundisha orally😆. Yaani hakuna kuandika bali nikuelekeza tu face to face.
 
Wakuuu kuna mtu humu kafanya usaili wa mahakama unaoendelea NCHI nzima?? Mimi nafanya kesho mapema asubuhi vitu gani vya kuzingatia sana
 
Taasisi zote zingekuwa kama UDSM ingekuwa poa sana. Oral tarehe 13- 19 July, mkeka wa ajira tarehe 24 July.
Na ukifanya utafiti utagundua kuwa Waliopata kazi Udsm walisoma hapo hapo Udsm, huwa hawaajiri ambao hawajasoma Udsm
 
Back
Top Bottom