Afro king
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 531
- 575
Hakikaaaaaaa ipo hvyoYaan km majina yashatoka na jina lako halipo kwenye PDF hapo ni Mungu tu ndio aliebakia afanye jambo uonekane bila hivyo tuliza wenge endelea na Maisha meengine database unaweza uwepo au usiwepo database yenyewe haipo open unaambiwa tu kuna database ila hujioni km upo au haupo na pia hupewi hata notification kwamba hujapita ila kwa sasa bado upo kwenye database, ndio kuna mdau humu kasema database ni huruma yao wao wakikuhurumia na Mungu akakuona ndio unakuta umewekwa hio ndio database
Database n maombi sana hali ya kuwa kuna watu kweli wanapata lakin inahitaji subra na ku focus na harakat zingne aisee. Na unapo itwa usail mwingne do better than you can, kwasababu database haipo open so n ngum kujua ulifaulu au la
Na wao wanasema awawezi kutangaza kazi adi watu wa database wa kada iyo wameisha so nikujiongeza
#__BILA KUCHOKA WAKUU🫡