Naomba nikujibu naimani sijachelewa....ninamdogo wangu amepata hizi kazi .... Kwenye oral hamna kuingia na hizi aid lakini wao waliambiwa wafundushe swali la 2 baada ya tell us about your self .
Kabla hawajaingia kwenye hiyo oral walipewa makaratasi waandike topic yoyote watakayoiwasilisha kwenye ream paper...
Unafundisha kwa kuimagine upo darasani na wale panelist unawachukulia kama wanafunzi.
Jitahd kufanya hivo pia jtahidi body language, jtahidi luwainvolve wale panelist wawe kama wanafunzi wako ...mfano unaanza can you tell us what we learned last time? Enhe Asha oh nice Victor that's great so unaendelea...
Naimani nimefanya kitu...try to be funny, engaging and taja majina mengi tofauti kuonesha unawajua wanafunzi tofauti wengi usirudie majina hayohayo...