HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah namshukuru sana Mungu na mimi leo nimelamba asali wizara x .. dah kweli leo na mimi Mungu ameniona jaman

Msikate tamaa Mungu yuko na atatenda.
Hongera Sana Mkuu karibu kuutumikia umma👏👏
 
Dah namshukuru sana Mungu na mimi leo nimelamba asali wizara x .. dah kweli leo na mimi Mungu ameniona jaman

Msikate tamaa Mungu yuko na atatenda.
Hongera sana mkuu...Mungu akusimamie kwenye majukumu yako mapya....hii baraka ukawe mwanzo wa mafanikio zako nyingine nyingi.
 
Jamani naona app ya psrs imerudii hewani kwangu mambo yamebadilika saivi kazi zote naziona na nilifanya marekebisho kwenye web asilimia zikapanda lakini kwenye app ilikua haionyeshi kitu lakini saivi kwenye app zimepanda pia.
Hii comparison ina mantiki ipi ?
 
Jamani kwani kuna mtu aliyefanya Oral status yake kwenye app haiko blank?? Maana naona kila mtu iko blank au tutapata wotee
Deal na Web, achana na habari za app ikiwezekana futa kabisa kwenye simu yako.
 
Dah namshukuru sana Mungu na mimi leo nimelamba asali wizara x .. dah kweli leo na mimi Mungu ameniona jaman

Msikate tamaa Mungu yuko na atatenda.
Hongera sana.
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.
 
Back
Top Bottom