Jumah JR
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 372
- 680
Hiyo lazima tuandikie mkuu.. bila hivyo morali ya kazi itakataUkifika tuu inatakiwa muiandikie barua ya kulipwa hiyo pesa ya kujikimu .
Hiyo lazima tuandikie mkuu.. bila hivyo morali ya kazi itakataUkifika tuu inatakiwa muiandikie barua ya kulipwa hiyo pesa ya kujikimu .
Kama unazani ni uongo ww ndo unajidanganya mbeba box USA anaweza lipa wafanyakazi watano wa halmashauri Kwa mwezi Kila mwezi Kwa kipato chake Cha mwezi, Kodi yake ya nyumba Kwa mwezi ni Mshahara wa madaktar wawili wa ngazi ya degree uko wizaraniNdio mnavyodanganyana ?
Acha story za uchochoroni unaharibu sifa za watu wanaopaswa ku comment kwenye huu uzi.Kama unazani ni uongo ww ndo unajidanganya mbeba box USA anaweza lipa wafanyakazi watano wa halmashauri Kwa mwezi Kila mwezi Kwa kipato chako Cha mwezi, Kodi yake ya nyumba Kwa mwezi ni Mshahara wa madaktar wawili wa ngazi ya degree uko wizarani
Mkuu mm naongea uhalisia ulivyo mm mwenyw msaka tonge tu nasubir hizohzo ajira za halmashauri lkn ukwel nasema sifichi ukwel kuwafurahisha watuAcha story za uchochoroni unaharibu sifa za watu wanaopaswa ku comment kwenye huu uzi.
Mbeba box ni sawa na mfanya kazi za viwandani hapa bongo hususani wale wa kazi nzito na ngumu. Sasa jiulize hiyo energy ya kuweza kufanya kazi nzito kiasi cha kukupa pesa za kuwalipa walimu 6 wa degree kama ni halisi au wishful thinking ?Mkuu mm naongea uhalisia ulivyo mm mwenyw msaka tonge tu nasubir hizohzo ajira za halmashauri lkn ukwel nasema sifichi ukwel kuwafurahisha watu
Kama Unazan wabeba box wa USA ni sawa na wafanyakazi wa METL basi unajidanganya tena, fanya utafiti vzuri Mshahara wa daktari bongo ni Dollar 350 take home ambayo ni Hela ya siku 3 had nne Kwa mbeba boxMbeba box ni sawa na mfanya kazi za viwandani hapa bongo hususani wale wa kazi nzito na ngumu. Sasa jiulize hiyo energy ya kuweza kufanya kazi nzito kiasi cha kukupa pesa za kuwalipa walimu 6 wa degree kama ni halisi au wishful thinking ?
Na wewe pambana ukabebe box kama unafikiri ni kazi yenye maslahi kiasi hicho. Sijui kama unafaham hizo kazi hufanywa na watu ambao ni unskilled na indecent ndio maana hata wanaozifanya huzifanya kama uchochoro tu wa kupita kwenda kutafuta kazi zinazojielewa.Kama Unazan wabeba box wa USA ni sawa na wafanyakazi wa METL basi unajidanganya tena, fanya utafiti vzuri Mshahara wa daktari bongo ni Dollar 350 take home ambayo ni Hela ya siku 3 had nne Kwa mbeba box
He earns in dollars and spends in dollars. Unataka alipwe kwa dollars halaf umlinganishe na mtu anaelipwa shilingi kwa matumizi ya shilingi?Kama Unazan wabeba box wa USA ni sawa na wafanyakazi wa METL basi unajidanganya tena, fanya utafiti vzuri Mshahara wa daktari bongo ni Dollar 350 take home ambayo ni Hela ya siku 3 had nne Kwa mbeba box
Mwambie mwenye laki 4 bongo anaweza kuimba wimbo wa Jux, BORA NIINJOI, wakati mwenye laki 4 huko kwa wabeba box anaimba wa Daz Nundaz , KAMANDAAAAAHe earns in dollars and spends in dollars. Unataka alipwe kwa dollars halaf umlinganishe na mtu anaelipwa shilingi kwa matumizi ya shilingi?
Dah mkuu Kwani Kuna ugomvi mm naongea halisi tu sio kwamba staki kuajiriwa au kuwakejer walioajiriwa, hapana mm ni msaka tonge kama wengine humu ndani lakn ukwel ndo huoNa wewe pambana ukabebe box kama unafikiri ni kazi yenye maslahi kiasi hicho. Sijui kama unafaham hizo kazi hufanywa na watu ambao ni unskilled na indecent ndio maana hata wanaozifanya huzifanya kama uchochoro tu wa kupita kwenda kutafuta kazi zinazojielewa.
Hizo ni theory tu zasisi tulio bongo lkn kiuhalisia haipo hivyoHe earns in dollars and spends in dollars. Unataka alipwe kwa dollars halaf umlinganishe na mtu anaelipwa shilingi kwa matumizi ya shilingi?
Unachokiandika si kitu halisia mtz mwenzangu.Dah mkuu Kwani Kuna ugomvi mm naongea halisi tu sio kwamba staki kuajiriwa au kuwakejer walioajiriwa, hapana mm ni msaka tonge kama wengine humu ndani lakn ukwel ndo huo
Lakn Lak 4 ni Dollar 180 hiyo ni Hela ya siku mbili mkuu uko USA kwambeba usisahau Hilo piaMwambie mwenye laki 4 bongo anaweza kuimba wimbo wa Jux, BORA NIINJOI, wakati mwenye laki 4 huko kwa wabeba box anaimba wa Daz Nundaz , KAMANDAAAAA
Huo ndo uhalisia, gharama za maisha huko majuu sio sawa na hapa bongoHizo ni theory tu zasisi tulio bongo lkn kiuhalisia haipo hivyo
Unaposema sio uhalisia ndo uje na data sio maneno ya vijiweni, mwisho wote wasaka tonge hapa bongo kwahyo ubishi huu hauna muhmuUnachokiandika si kitu halisia mtz mwenzangu.
Gharama ni Kodi tu za nyumba na za serikali mengine ni kawaida inategemea na life style ya mtuHuo ndo uhalisia, gharama za maisha huko majuu sio sawa na hapa bongo
Haircut pekee ni dollar 30 hadi 70 pia huko hakuna midosho ya abibas lazima uvae vitu original, hakuna kudownload nyimbo lazima ulipie Spotify, hakuna kuweka muvi library kwa buku lazima ulipie Netflix na makorokoro mengine kibaoGharama ni Kodi tu za nyumba na za serikali mengine ni kawaida inategemea na life style ya mtu
Sasa unaenda kutafuta Hela au kustarehe? Kunyoa hata dongo si unanyoa mwenye tuHaircut pekee ni dollar 30 hadi 70 pia huko hakuna midosho ya abibas lazima uvae vitu original, hakuna kudownload nyimbo lazima ulipie Spotify, hakuna kuweka muvi library kwa buku lazima ulipie Netflix na makorokoro mengine kibao
😂😂Sasa unaenda kutafuta Hela au kustarehe? Kunyoa hata dongo si unanyoa mwenye tu
Hiyo hela ya kunyoa baba shop Kama ukiiweka Kwa miez 6 si unapata kiwanja kimara ndani ndani