HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba mtoa ushaur Kwa huyu kijana, Kaz alopata ni ya halmashaur ualimu
 
Attachments

  • IMG-20250713-WA0003.jpg
    IMG-20250713-WA0003.jpg
    36.9 KB · Views: 31
Naomba mtoa ushaur Kwa huyu kijana, Kaz alopata ni ya halmashaur ualimu
ndoto yake yeye ni nini mkuu?

Kama anatamani kuajiliwa na serikali achukue hiyo kazi (tukiconsider wao husema kama hautafuata barua na kureport hautabeen considered kupata ajira tena hata ukipita.

Kama anatamani kujiendeleza akafungua miradi yake na kuaim top private offices them ni wazo zuri considering atapata exposure (japo India exposure ni ndogo kiasi chake)

Ipo ndani ya mipango yake kimaisha kuamua..
 
Toa ushauri mkuu
Mwambie Afanye kazi , kuongeza elimu atasoma baadae kama Kuna ulazima, na mara nyingi akiwa kazini huenda kukawa na Fursa na akaitumia nafasi hiyo kwenda kusoma ili apatiwe . In short elimu ipo na Haina mwisho , tangia la kwanza unasoma ili utengeneze maisha , ukipata hiyo Fursa ya kibarua tumikia kwanza elimu ipo .
 
Sawa mkuu
 
Naomba mtoa ushaur Kwa huyu kijana, Kaz alopata ni ya halmashaur ualimu
Haraka sana aende kazini uko india watu wake tu wanakimbia

Pia ukipangiwa now kituo cha kazi usipo report sahau kupata kazi serikalini mifumo inasomana

Afu juu ya elimu anao uwezo wa kujiendeleza akiwa kazini .....

Good luck 👍
Sema tawile
 
Sema sisi wabongo tuna tatzo mahala kwakwel
 
Tatizo lipi....
Sema kabla atujakutupia jini
Sema tawile....
Hatupend shida sio watu wa kuchukua hatar akili zetu zinawaza kuajiriwa tu.

Hv akisoma master's akamaliza itakua rahisi yeye kwenda ulaya, uarabuni au Amerika hata kubeba box tu ambapo atapata Hela nyingi kuliko kukaa hapa bongo mshahara wa laki 8
 
Kama ishu ni kwenda nje basi hata sasa anaweza kwenda. Ila huwezi Wacha kazi uende kusoma master India ili upate wepesi wa kwenda Ulaya ukabebe boksi.
 
HIzi ni akili za hovyo sana, yaani usome na utetekeze mamilion ili uende ukabebe vitu warehouse
 
Kama ishu ni kwenda nje basi hata sasa anaweza kwenda. Ila huwezi Wacha kazi uende kusoma master India ili upate wepesi wa kwenda Ulaya ukabebe boksi.
Mbeba box ulaya anakipato mara 6 Cha mwalimu wa degree Kwa mwezi
 
TBC wametangaza ajira, moja wapo niliwahi kuifanyia interview Februari 2024.

Naona muda wa database ume-expire Ndo mana wametangaza tena hawajaangaika na waliopo database au wote tuliobaki tulifeli hata hatukuwepo database 😂
 
Back
Top Bottom