Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
Unaweza ukawahi kuripoti na ukachelewa kuanza kazi mkuu😁Mwezi ujao mkuu kwenye tareh 20 na kitu inabidi uwahi kuripoti ili uanze kazi mapema upate Fursa ya kushiriki Kuna kaposho kanakuwepo😀😀
Unaweza ukawahi kuripoti na ukachelewa kuanza kazi mkuu😁Mwezi ujao mkuu kwenye tareh 20 na kitu inabidi uwahi kuripoti ili uanze kazi mapema upate Fursa ya kushiriki Kuna kaposho kanakuwepo😀😀
🤣🤣🤣hilo nalo nenoUnaweza ukawahi kuripoti na ukachelewa kuanza kazi mkuu😁
Amini mkuu hii nchi ngumu😂🤣🤣🤣hilo nalo neno
Hizi mambo zinatia stress 😂😂😂Unaweza ukawahi kuripoti na ukachelewa kuanza kazi mkuu😁
😂kumbe,ww ushaanza kazi?Mwezi ujao mkuu kwenye tareh 20 na kitu inabidi uwahi kuripoti ili uanze kazi mapema upate Fursa ya kushiriki Kuna kaposho kanakuwepo😀😀
Mwezi ujao mkuu kwenye tareh 20 na kitu inabidi uwahi kuripoti ili uanze kazi mapema upate Fursa ya kushiriki Kuna kaposho kanakuwepo😀😀
Taasisi gan mkuu mpaka saiv ujapigiwa cm?Yaani kuitwa kuanza kazi napo kazi, unasubiri hiyo simu haipigwi...😄.
Huo uhakiki wanapekua nini sijui, miezi miwili.
Kama unakazi nyingine, usiache immediately ukiona jina kwenye mkeka, utafuria mpaka sio vizuri.
Unataka kumcholesha taasisi zote wengine wanaenda miezi miwili, mitatu, sita mpaka tisa.....Taasisi gan mkuu mpaka saiv ujapigiwa cm?
Nchi ngumu sana hii sasa kipind chote hiki wanakuwa wanafanya nn😁?Unataka kumcholesha taasisi zote wengine wanaenda miezi miwili, mitatu, sita mpaka tisa.....
Jobless wanateseka sana....
Nyingi tu...ni utaratibu wa kawaida, mwaka jana sisi tulipigiwa baada ya wiki 3 tukaanza.Taasisi gan mkuu mpaka saiv ujapigiwa cm?
Hongera sana..Nashukuru MUNGU,na mimi mkeka wa jana kanionekania
Hawaeleweki ukipeleka documents zako ofisi inakaa nazo ata miezi miwili baada ya apo ndio wanaanza kukutafutia check number......Nchi ngumu sana hii sasa kipind chote hiki wanakuwa wanafanya nn😁?
Kwamba ukiwa kwenye Database kuna notifications unapewa kua upo kwenye database kwa hio usisumbuke kuomba kazi na kutumia pesa kufanya usahili mwingine au hapo anamaanisha nini?Sambamba na hilo, Amesema kuna hali ya wasailiwa kuomba kazi mara kwa mara kwa kutotambua iwapo wako kwenye kanzidata ama hapana hivyo kupelekea wasailiwa kutumia fedha nyingi katika mchakato mzima wa ajira wakati tayari unaweza kuta msailiwa huyo amefaulu na yuko tayari kwenye kanzidata.
Ingia mule ukaguekague vizuri utapata uhakika wabunachotaka kukifanyaWakuu ushauri wenu ni muhimu nisije kupoteza pesa zangu bure.
Sema hii inategemea na taasisi mkuuHawaeleweki ukipeleka documents zako ofisi inakaa nazo ata miezi miwili baada ya apo ndio wanaanza kukutafutia check number......
Ni uvivu na uzembe wa taasisi...
Admin yupo zake likizo saiv hajui kam vijana wananyooka😂Jamani huko hkn mwenye placement Letter kwa account yake maana kimya kimetanda au admin yupo saba saba DSM..
Bado hapa tumeambiwa tusubiri mshahara wa July ndo Twende😂kumbe,ww ushaanza kazi?
Hakika mkuu uhakiki gani huo unaochukua miezi. 😀😀Yaani kuitwa kuanza kazi napo kazi, unasubiri hiyo simu haipigwi...😄.
Huo uhakiki wanapekua nini sijui, miezi miwili.
Kama unakazi nyingine, usiache immediately ukiona jina kwenye mkeka, utafuria mpaka sio vizuri.