El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,075
- 6,481
hamu yote ya placement imeniisha kama umeme wenyewe ndo hivi si hatari hii..
Eti wakuu naomba kuuliza sisi tulifanya interview ya afisa ushirika tarehe 28 mwezi wa tano walikuwa wanataka watu 27 ila oral wakaita watu 248 cha kushangaza jana wametoa mkeka wameandika walio fanya interview kuanzia mwez wa 9 mwaka 2024 hadi 21 mwezi wa tano mwaka 2025, na wameita watu watatu kama ma afisa ushirika na mtu mmoja kati ya walio itwa alifanya oral ya account officer siyo ya ushirika
😅😅😅hamu yote ya placement imeniisha kama umeme wenyewe ndo hivi si hatari hii..
Uko na hali mbaya bro, kama ww ni graduate engineer wa electrical halafu pasi tu inakushinda , duh.Ndugu zangu kuna maza hapa kitaa wakati anapasi nguo zake asubui ili aende kanisani pasi yake ilimgomea kuwaka.Basi akaniletea engineer EL -Marabish nimrekebishie (mwanae alimwambia nina degree ya umeme ndo alieniponza), nikamwambia mbona hilo ni tatizo dogo sana kwangu. Basi akaniachia ile pasi, namshukuru mungu niliirekebisha vizuri tu ikawa inawaka taa ila baada ya kuichunguza nikaona kama haipati joto vilee, si nikaamua niguse lile bati bana kuona kama inachemka, halooo..!!! narudia tena haloo...!!!🙌🙌 sitakuja kusahau shoti niliyokutana nayo yaani nilivutwa mkono nikahisi mkono umenyofolewa halafu kulikua na watu sasa nikawaangalia bahati nzuri hawakuusoma mchezo nikatoka nje taratibu kwenda kupigwa upepo.hapa nimeifunga vizuri kesho asubuhi nataka niwapelekee mafundi (wenye kazi zao) ikipona nitamwambia mie ndo nimeitengeneza....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa unachangamsha sana.Ndugu zangu kuna maza hapa kitaa wakati anapasi nguo zake asubui ili aende kanisani pasi yake ilimgomea kuwaka.Basi akaniletea engineer EL -Marabish nimrekebishie (mwanae alimwambia nina degree ya umeme ndo alieniponza), nikamwambia mbona hilo ni tatizo dogo sana kwangu. Basi akaniachia ile pasi, namshukuru mungu niliirekebisha vizuri tu ikawa inawaka taa ila baada ya kuichunguza nikaona kama haipati joto vilee, si nikaamua niguse lile bati bana kuona kama inachemka, halooo..!!! narudia tena haloo...!!![emoji119][emoji119] sitakuja kusahau shoti niliyokutana nayo yaani nilivutwa mkono nikahisi mkono umenyofolewa halafu kulikua na watu sasa nikawaangalia bahati nzuri hawakuusoma mchezo nikatoka nje taratibu kwenda kupigwa upepo.hapa nimeifunga vizuri kesho asubuhi nataka niwapelekee mafundi (wenye kazi zao) ikipona nitamwambia mie ndo nimeitengeneza....
Jobless umepigwa na shoti, hatari na nusu, hiyo ni dalili nzuri. Unalamba asali soon EngineerNdugu zangu kuna maza hapa kitaa wakati anapasi nguo zake asubui ili aende kanisani pasi yake ilimgomea kuwaka.Basi akaniletea engineer EL -Marabish nimrekebishie (mwanae alimwambia nina degree ya umeme ndo alieniponza), nikamwambia mbona hilo ni tatizo dogo sana kwangu. Basi akaniachia ile pasi, namshukuru mungu niliirekebisha vizuri tu ikawa inawaka taa ila baada ya kuichunguza nikaona kama haipati joto vilee, si nikaamua niguse lile bati bana kuona kama inachemka, halooo..!!! narudia tena haloo...!!!🙌🙌 sitakuja kusahau shoti niliyokutana nayo yaani nilivutwa mkono nikahisi mkono umenyofolewa halafu kulikua na watu sasa nikawaangalia bahati nzuri hawakuusoma mchezo nikatoka nje taratibu kwenda kupigwa upepo.hapa nimeifunga vizuri kesho asubuhi nataka niwapelekee mafundi (wenye kazi zao) ikipona nitamwambia mie ndo nimeitengeneza....
Wamepewa maelekezo makali sana. Waache uhuni, yawezekana katibu mkuu anasoma huu uzi.Dah. Afadhali, maana miezi miwili inakata, kila ukimcheck anakuambia usiwe na haraka Afisa. Yaani unapewa cheo kikubwa wakati nipo mtaani naendelea kuchakaa. Dah!
Katibu katufurahisha LeoDah. Afadhali, maana miezi miwili inakata, kila ukimcheck anakuambia usiwe na haraka Afisa. Yaani unapewa cheo kikubwa wakati nipo mtaani naendelea kuchakaa. Dah!
Yaani katufurahisha sana. Ukiwaangalia hao HRs hapo wameridhika sana na wanafurahi kutusubirisha jobless bila kuwa na sababu za msingi. Katibu mitano tena.Katibu katufurahisha Leo
Leo katibu mkuu utumishi Bw. Juma S. Mkomi kawatolea uvivu wote wanaochelewesha kuajiri kwa sababu zisizoeleweka wakati kabla ya kuomba kibali wamekua wametoa bajeti na kuandaa kwenye P.E .
Hali hiyo imetokana na malalamiko ya muda mrefu kwa vijana walioajiriwa na kupata barua zao lakini kukubaliwa na kuanza kazi kuna kuwa na vikwazo vya kumsubirisha mtumishi mpya kwa muda wa kufikia mpaka miezi 6 ili tu mwaka wa fedha ubadilike.
Aidha, Ametoa rai kwa waajili wote wawapokee watumishi kwani waliandaa bajeti ya kuajiriwa na kisha kuomba kibali kwa katibu mkuu utumishi.
Sambamba na hilo, Amesema kuna hali ya wasailiwa kuomba kazi mara kwa mara kwa kutotambua iwapo wako kwenye kanzidata ama hapana hivyo kupelekea wasailiwa kutumia fedha nyingi katika mchakato mzima wa ajira wakati tayari unaweza kuta msailiwa huyo amefaulu na yuko tayari kwenye kanzidata.
Vilevile, Waajiriwa wameaswa iwapo wana vijana wao wanaojitolea na hivyo kupelekea kukataa waajiriwa walioletwa na sekretarieti ya ajira yaani psrs inabidi waombe kwa kufuata utaratibu wa kuwaombea vijana hao ajira na sio lazima wakubaliwe maombi yao kwani ni utashi wa katibu mkuu kuridhia maombi hayo ama kukataa.
Pamoja na hali hiyo waajiri wameshauriwa kutotumia mwanya wa vijana wanaojitolea kuchelewesha ama kuendelea na kukataa waajiriwa wapya waliopambana na kupata kazi kwani hali hiyo haikubaliki. "Utajiskiaje kijana wako anafanyiwa jambo hilo wakati amefaulu usaili na amepata barua ya kuajiriwa? Bw. Mkomi amesema.
Katika kumalizia kikao hicho na washauri wa waajiri amesema kigezo cha kusingizia uhakiki wa vyeti sio kweli kwani mifumo haifanyi kazi hivyo. Pia amesema wakipata taarifa za muajiriwa mpya kucheleweshwa kuajiriwa watadili na muajiri kwa kufuata sheria kanuni na taratibu.
Link ya video hiyo
View: https://youtu.be/110Tv8nImIA?si=azEQ6uZQEfh-hck2
Dah! Miezi 7 ni parefu sana mkuu, yaani hadi umeshasahau kama umepata ajira. Pole sanaHii ngoma ni kweli wengine tuna miezi 7 ......
Ngoja niende uko uko sasa ngoma imekuwa nzitoDah! Miezi 7 ni parefu sana mkuu, yaani hadi umeshasahau kama umepata ajira. Pole sana
Naamini mwezi wa saba lazima wakuite maana wataogopa kuwajibishwa na katibu mkuu utumishi.Ngoja niende uko uko sasa ngoma imekuwa nzito
Inamaana hata sisi tuliofanya June 10, tutaitwa mapemaNaamini mwezi wa saba lazima wakuite maana wataogopa kuwajibishwa na katibu mkuu utumishi.
Hapo anazungumzia baada ya kupata 'placement' ukiripoti kazini kulikuwa na utaratibu wa kuwasubirisha ajira mpya kwa muda mrefu hadi zaidi ya miezi sita bila sababu za msingi.Inamaana hata sisi tuliofanya June 10, tutaitwa mapema
Kwahiyo kumbe sisi haituhusu🤕Hapo anazungumzia baada ya kupata 'placement' ukiripoti kazini kulikuwa na utaratibu wa kuwasubirisha ajira mpya kwa muda mrefu hadi zaidi ya miezi sita bila sababu za msingi.
Kwa sasa waajiri wanatakiwa wakishampokea mtumishi baada ya kuripoti kazini wafanye mchakato wa kuanza kazi haraka iwezekanavyo sio kuendelea kusubiri wa miezi kadhaa.
Oral ulifanya tarehe ngapiJamani hivi kuitwa kazini kama ulifanya oral kupitia taasisi means na kaz utapat za taasisi pekee
Sikufanikiwa kwenda oral ajira za MDA & LGA za mwezi september 2024 kada afya
Nikaja kupita kwenda oral ajira ya taasisi ,ambapo walitak mtu mmoja na washampata
Sasa kila pdf nalolizoom naona wanaoitwa kazini ni wale waliofanya oral ya LGA & MDA ni kwamba sisi wa oral ya taasisi japo kada moja tupo sawa tu na wadau wa not selected majina yetu yanawekwa kapuni au inakuaje
Nimechok kupitia pdf kwa kweli