HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hivi wale Mzena Hospital ajira zao huwa hazipitii utumishi wanapataje madaktari na wahudumu wengine sijawahi skia wakitangaza kazi hata mara moja na ni taasisi ya kiserikali
 
Usenge wangu uko wapi mkuu

Usenge ni kumuita mtu msenge badala ya kumpa mwongozo

Wewe ndio msenge hata ukimya ni busara kama hujui vitu

Wanaojua watanijuza una ufala sana
Usenge wako unauliza maswali ya kijinga
 
Hivi DCEA na NHIF huwa wana ajiri kweli ?
Sijawahi ona ajira zao
 
Back
Top Bottom