Ngunya1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 791
- 1,377
Tawile wewe ni mkweli sema wabongo hatutaki ukweliNafungua kibali cha Subaru
Sema tawile .........
Hongera sana kwake
Tawile wewe ni mkweli sema wabongo hatutaki ukweliNafungua kibali cha Subaru
Sema tawile .........
Hongera sana kwake
Tatizo moja la watanzania awapendi ukweliTawile wewe ni mkweli sema wabongo hatutaki ukweli
Mbona huyu jamaa Kuna comment humu kuwa alishapata placement japo huu ni mwezi wa saba hajaanza kaziChampion number one Huyu bwana pia kalamba asali yake halmashauri siku ya Leo.
Hakika utabiri wako umetiki na mwishowe muhusika pia amesema tawire!
Mkuu hebu achana na issues za status utajiumiza kichwa tu, subiri wakati wa Mungu ndio wakati sahihi utapata kazi usijali. Usimsikilize mtu akwambie eti mara hivi mara vile! Status doesn't work!. Hao tayari washashiba sasahivi ndo wanaleta ndomboro zao eti status ndo kila kitu! Then tukiwaambia kuna watu wamepata placement bila effect ya status eti wanatuona wabishi. Mimi huwa nawaitia mkuu Jerry001 aje kuwapa ushuhudanaomba urudie ulichosema issue ya status
Mkuu achana na hayo mambo kaa usubiri placement, kila mtu atapata humu. Kwani wao nani wapate we ukose? Yaani status tu ndo ikuweke roho juu?!Lakini mkuu kuna wale walioenda direct oral interview na unakuta status inasoma shortlisted halafu uki-click ndo unakuta status ikisema oral interview kwenye app na website. Hii ni tofauti na wale wa SELECTED FOR ORAL?
Ila hizi pdf zinarudi nyuma baada ya kwenda mbele, Leo ni watu 26/6/2024 - 18/5/2025 , Hapa ndio naanza kuelewa kwanini Serikali ilianza kugawa bodaboda halafu wakaja Baiskeli.hii system ya kuweka barua kwenye portal baada ya kuifata ofisini kwao imefanya siku hizi pdf zinatoka kwa wakati. naona na wenyewe waliona pdf ziko nyingi watu watakua wanajaa kule..
Hilo nalo neno!!,Mkuu achana na hayo mambo kaa usubiri placement, kila mtu atapata humu. Kwani wao nani wapate we ukose? Yaani status tu ndo ikuweke roho juu?!
Status ya App mkuu....muda mwengine Huwa inazingua mpaka uioteeStatus ya kwenye app au kwenye browser? Kwa upande wangu, App inanigimea ku login
Duuh ndo mana foleni haisogei sema mwezi wa 7 hapa PDF zitamiminika SanaNdio wana chukua na database wanaweka aisee ndio maan tuliofanya siku iyo bado tumewekwa bench
insha'Allah wafanye hivyo yan matokeo ya oral bora wangekuwa wanatoa mkeka mtu ujipange na vita vingine kama sasa watu wapo njia panda awajui wamefel au wamefaulu🙎🏾Duuh ndo mana foleni haisogei sema mwezi wa 7 hapa PDF zitamiminika Sana
Wewe jamaa naye una sound kama wale jamaa wa ChaumaTulia soon itafunguliwa kama ukiona ivyo ujue kuna placement zinakuja ko inatumika makao makuu
Hii changamoto nayo itafanyiwa kazi tu.insha'Allah wafanye hivyo yan matokeo ya oral bora wangekuwa wanatoa mkeka mtu ujipange na vita vingine kama sasa watu wapo njia panda awajui wamefel au wamefaulu🙎🏾
Tarehe zime stuck mzee hata haziendi mbele, yan hata IT hajistukii kabisa yan.Ila hizi pdf zinarudi nyuma baada ya kwenda mbele, Leo ni watu 26/6/2024 - 18/5/2025 , Hapa ndio naanza kuelewa kwanini Serikali ilianza kugawa bodaboda halafu wakaja Baiskeli.
Hakuna cha kujifunza, atakutia hofu za bure.Wakuu kwani huyu bwana wa kumuita Champion alisema nn kuhusu placements kwa ajira portal nijifunze kitu
Inshaallah kaka Kuna siku nilimsikia Katibu akizungumzia kulifanyia maboresho hili waliofaulu oral wawe wanajijua na watakaoingia database wawe wanajijuainsha'Allah wafanye hivyo yan matokeo ya oral bora wangekuwa wanatoa mkeka mtu ujipange na vita vingine kama sasa watu wapo njia panda awajui wamefel au wamefaulu🙎🏾
HaifungukiiiPortal hii
Labda kuna neema inakuja😅😅Haifungukiii