1. Hiyo ya kwanza ya SELECTED FOR ORAL Andaa suti mkuu hongera mtumishi mpya..... Leta ushuhuda apo una uhakika
2.Hiyo ya pili ni kwamba hukuchaguliwa kufanya interview either ulikosea kitu na kama ulifanya mpaka kufika oral ujue kwenye oral ulikula ndoige aka mama Jeni bye bye
Mungu wa wote pia humu ndani kuna watu wanamaindi unajua bora ukweli mchungu kuliko hope isiyokuwepo pia humu hakuna mtu anamjua mtu sipati faida yoyote ya kuongea uongo au kukuombea mabaya
Tunaelekezana mambo yanavyokuwa unataka nikwambie kitu cha uongo ili iweje
Tumetofautiana usipende uongo unaofurahisha wakati kuna ukweli ambao utakujenga
Mimi binafsi yote nimepitia
SELECTED FOR ORAL na NOT SELECTED for oral, natamani ningepata mtu wa kuniambia ukweli kuliko unakuwa na hope ya uongo badala ya kufanya juhudi ufanikiwe uvuke unasubiri kitu amna
Ninasaidia ata wale waliokumbwa na situation kujipanga upya
Unafiki kitu kibaya