HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
WADAU NIMEANZA KUFANYA INTERVIEW MWAKA 2022 NA NIMEFANYA INTERVIEW 5 NA INTERVIEW MOJA TU,NDIYO NIMEINGIA ORAL NA HIYO HIYO NDOYO IMENIPATIA KAZI.

NAWASHUKURU WADAU KWA KUTUTIA MOYO HAKIKA MAOMBI YANALIPA,MWIFA SHUKRANI BRO NILIKUFATA UKANIPA MOYO SANA.

WADAU SIAMINI MJUE COZ NILIPATWA NA KIWEWE KWENYE ORAL ILA NILIJIBU VIZUT JAPO NGELI ILINIKIMBIA KIDOGO ILA SIKITOKA NJE YA MCHEZO NA HATIMAYE NIMEPATA.

TUSIKATE TAMAAA
Ulifanya oral tarehe ngapi mkuu?
 
boss ujue point na kujiamini tu,me nilishindwa kabisa mpk nikaambia just mentin zilizobakia ila sikutaka kuwa hivyo nikajibu zote al hamdulillah...usiwaze utapangiwa.
Asante sana mkuu wangu....Mungu atatutetea na sisi ...hongera sana sana, huu ukawe mwanzo wa baraka na mafanikio kwako
 

Attachments

  • Screenshot_20250702-121810_Chrome.jpg
    Screenshot_20250702-121810_Chrome.jpg
    538.5 KB · Views: 35
Iki kitu nilikifanyag siku nimetoka oral yangu ya kwanza šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ ila chatgpt hana tabu anatia san moyo
hahahaha sana...japo mm niliweka as an experienced CEO and expert , be critical hahahaha alinicook sana sema bado naona mwanga
 
Yaan nakula ndoige sio ndoige kila nikigusa nakosa marks 7,8,10,2,1 nipeni mbinu wakuu wapi nakosea haloo Mbaga Jr Mwifwa Mhafidhina 2 kante mp2025 El marabiosh Kandambili1 Taejov na wengine wote mliolamba asali na ambao bado lkn mshawai ingia oral wakuu
Mkuu mm kati ya hizo ulizopost nilipita 1... Moja nkaanguka....pia Nina not selected 4 2 tu ndo nlipita...

Kikubwa kuendelea kujaribu na kupitia job descriptions (kujiandaa kwa kuzisoma moja moja).....pia nafikiri kupitia majibu yako mara 2 hadi 3 inasaidia sana
 
Mkuu mm kati ya hizo ulizopost nilipita 1... Moja nkaanguka....pia Nina not selected 4 2 tu ndo nlipita...

Kikubwa kuendelea kujaribu na kupitia job descriptions (kujiandaa kwa kuzisoma moja moja).....pia nafikiri kupitia majibu yako mara 2 hadi 3 inasaidia sana
Mkuu acha aisee written nadondoka kila wakati kwani nyie mnafanya nini mpaka mnapita
 
Back
Top Bottom