HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lazima ataleta Feed back 🔙 🔙
Mwanamke akishika pesa kwisha habari wachache sana wanatulia kwenye mstari.....

Mbinu za ufundi ni mimba mfululizo ata watoto wanne apo kidogo atakua busy na watoto adi kuanza kuwaza ujinga mda umeenda

Mwanamke anaenda mkoa tofauti na wewe watamtafuna adi uchanganyikiwe apo Amna ndoa....

Jamaa ajipange kutafuta mke....
Not real
 
Mkuu hebu achana na issues za status utajiumiza kichwa tu, subiri wakati wa Mungu ndio wakati sahihi utapata kazi usijali. Usimsikilize mtu akwambie eti mara hivi mara vile! Status doesn't work!. Hao tayari washashiba sasahivi ndo wanaleta ndomboro zao eti status ndo kila kitu! Then tukiwaambia kuna watu wamepata placement bila effect ya status eti wanatuona wabishi. Mimi huwa nawaitia mkuu Jerry001 aje kuwapa ushuhuda
Upo sahihi mkuu. Wakati napata placement kwenye app hakukuwa na chochote kwenye web ndio kulikuwa na status ya SELECTED FOR ORAL. Hivyo haina haja ya watu ku-panic, ni kumwomba Mungu tu. Kila mtu atafikiwa
 
Back
Top Bottom