osha walikanda maswali ganiukajua umeshaenda osha.ngoma mpaka mwezi wa nane iyooo....
osha walikanda maswali ganiukajua umeshaenda osha.ngoma mpaka mwezi wa nane iyooo....
Shukrani sana sana mkuuHongeren wote mnaoebdelea kuitwa kwenye utumishi wa umma tunawatamani sana wakuu. Hongereni sana Mungu akatoe kibali juu yenu cha kuwatumikia wananchi
Zishatoka 2PDF vipi leo?
Kumbe!, basi watu watakuwa wamelamba asali na sasa wanasherehekea. Si kwa ukimya huu aisee!Zishatoka 2
Walimu na AfyaKumbe!, basi watu watakuwa wamelamba asali na sasa wanasherehekea. Si kwa ukimya huu aisee!
W
PDF zenyewe zimeanza kwenda kwa mfumo wa descending order😁😁. Kutoka May 18, sasa hivi zipo May 13.
Ni shida aisee!Kila siku maumivu duuuh tutasubilia mpaka liniiii🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Yani kunawakati nafikiria ni bora kufel written kuliko kusubiria placementNi shida aisee!
Kuishi kwa matumaini kunahitaji moyo sana aiseeKila siku maumivu duuuh tutasubilia mpaka liniiii[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hapa inahitajika moyo wa chumaaYani kunawakati nafikiria ni bora kufel written kuliko kusubiria placement
Sio kweli mkuu. Ni kama mtu aliesimama kituoni na mtu aliekosa siti kwenye gari, ni amesimama lakini anakaribia kituo chakeYani kunawakati nafikiria ni bora kufel written kuliko kusubiria placement
Hakika..Sio kweli mkuu. Ni kama mtu aliesimama kituoni na mtu aliekosa siti kwenye gari, ni amesimama lakini anakaribia kituo chake
Two different situations
Maumivu yake ni makali kweli kweli, kama mtu ambae hakupendi ila pia hakuachi uende.😄Inatesa sana ki,psychology kusubiri matokeo ya placement 🤔 🤔
Hahahaaa anajua anakupotezea muda ila hasemi acha kabisa aiseee...Maumivu yake ni makali kweli kweli, kama mtu ambae hakupendi ila pia hakuachi uende.😄