Jumah JR
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 376
- 701
Utafikiwa mkuu kuwa mvumilivu tuuHahahaaa anajua anakupotezea muda ila hasemi acha kabisa aiseee...
Utafikiwa mkuu kuwa mvumilivu tuuHahahaaa anajua anakupotezea muda ila hasemi acha kabisa aiseee...
implication of harmonics,factor that cause voltage drop nayakumbuka hayo tu..osha walikanda maswali gani
hahahah hongera kama bado unakumbuka maswali mkuu hahahah.....mimi maswali mpaka leo yale mawili naonaga kama nlikosea kuyasikia hivi hahahahaha na nilishangaa kweli ndo maswali gani yale hahahahaimplication of harmonics,factor that cause voltage drop nayakumbuka hayo tu..
Ahsante sana kwa kututia moyo mkuuTuwe wavumilivu wakuu tutafikiwa.....aiseh kutokuwa na oral hata moja nayo inaumiza sana, ukiona update za pdf unapita kinyonge mno...
Mungu atafanya tuendelee kuteseka ili Kaunda suti zifunge vifungo vizuri tunavyoreport
Msichoke kusubir wakuuAhsante sana kwa kututia moyo mkuu
sometime nikikumbuka nilivyojibu ile interview huwa nacheka mwenyewe.. 🤣 🤣hahahah hongera kama bado unakumbuka maswali mkuu hahahah.....mimi maswali mpaka leo yale mawili naonaga kama nlikosea kuyasikia hivi hahahahaha na nilishangaa kweli ndo maswali gani yale hahahaha
hahahaha pole mkuu ...mimi points zangu nimesahau zote nakumbuka chache tu.... Kuna muda walikazania bado one point namimi nasema nimesema zote hahahaha....sometime nikikumbuka nilivyojibu ile interview huwa nacheka mwenyewe.. 🤣 🤣
Writen za psrs hata haitakiwi kwenda ukiwa umesoma , maana hata ukisoma yale uliyoyasoma hutokutana nayo.Mungu atusaidie kwakweli .....hizo written zenyewe kuvuka sahizi ni mzigo wa misumali..
Kweli kabisa mkuuWriten za psrs hata haitakiwi kwenda ukiwa umesoma , maana hata ukisoma yale uliyoyasoma hutokutana nayo.
Mambo hayaelewekiWriten za psrs hata haitakiwi kwenda ukiwa umesoma , maana hata ukisoma yale uliyoyasoma hutokutana nayo.
AminaShukran mkuu. MUNGU atawafungulia njia na nyie🙏
Amina mkuuShukrani sana sana mkuu
🤣🤣🤣sometime nikikumbuka nilivyojibu ile interview huwa nacheka mwenyewe.. 🤣 🤣
Amen 🙏🏿 🙏🏿Utafikiwa mkuu kuwa mvumilivu tuu
Hahahaaa hyo situation sio poa kwakweli.. 😁 😁hahahaha pole mkuu ...mimi points zangu nimesahau zote nakumbuka chache tu.... Kuna muda walikazania bado one point namimi nasema nimesema zote hahahaha....
yaani ukisoma zile interview unakua umejichosha tu.. 🤣 🤣Writen za psrs hata haitakiwi kwenda ukiwa umesoma , maana hata ukisoma yale uliyoyasoma hutokutana nayo.
Hahahaaa hyo situation sio poa kwakweli.. 😁 😁