Jumah JR
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 376
- 701
Ulipiga lini saili?Kwangu bila bila
Ulipiga lini saili?Kwangu bila bila
Tareh 18/05 mkuuHao walifanya usaili tarehe ngapi mkuu?
Mkuu we endelea kusoma gazeti huku umerelax Anza kufatilia mikeka baada ya week 3 tangu umefanya oral 😅Nina siku 10 tangu nimalize Oral Interview. Unanishauri Nini 😅
ukajua umeshaenda osha.ngoma mpaka mwezi wa nane iyooo....🤣🤣🤣🤣mkeka wetu badoo bana umenishtua ujue
wiki tatu? usimpe moyo mwambie tu ukweli kua ni baada mwaka mmoja.. 🤣 🤣Mkuu we endelea kusoma gazeti huku umerelax Anza kufatilia mikeka baada ya week 3 tangu umefanya oral 😅
halafu Rahsully mie naona kuna dalili ya watu kumwagwa halmashauri...🤣🤣🤣🤣mkeka wetu badoo bana umenishtua ujue
Hao database ndo wanachukuaga mwaka😅😅😅wiki tatu? usimpe moyo mwambie tu ukweli kua ni baada mwaka mmoja.. 🤣 🤣
Tarehe 10 JuneUlipiga lini saili?
Mkuu, Kuna ushahidi wowote wa mtu aliyewekwa database kuitwa placement?Hao database ndo wanachukuaga mwaka😅😅😅
MAjibu ya swali lako wanayo wao wenyewe wahusika. Kuna taarifa nyingine kutokana na unyeti wake usitegemee kupata majibu ya kiholela mtandaoni.Mkuu, Kuna ushahidi wowote wa mtu aliyewekwa database kuitwa placement?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah utafutaji mgumu sanandugu yangu yaani vitu nilivyoteza muda kusoma hawajagusa hata moja.Yaani unaruka kulia wenyewe wanapiga kushoto unaskia tu mashabiki wanashangilia..
SawaMAjibu ya swali lako wanayo wao wenyewe wahusika. Kuna taarifa nyingine kutokana na unyeti wake usitegemee kupata majibu ya kiholela mtandaoni.
hatari sana ndugu yangu hawajamaa wamesomea saikolojia ya majobless yaan wanagusa sehemu usiyotarajia unabaki umepigwa bumbuwazi.. 🤣 🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah utafutaji mgumu sana
Sijawahi kuonahivi hawa wakuu huwa wanatoa pdf jumamosi???
pdf hadi jumapili zinatoka. Hazina siku maalumu mkuuhivi hawa wakuu huwa wanatoa pdf jumamosi???
Duh! Kweli?pdf hadi jumapili zinatoka. Hazina siku maalumu mkuu
Wanatoa Pdf hadi sikukuu.hivi hawa wakuu huwa wanatoa pdf jumamosi???