HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A
Kumbe placement inakuwepo mapema hivyo!
Basi mimi nitakuwa nachungulia zangu saa 6 mchana, saa 9 alasiri, saa 12 jioni na saa 3 usiku basi. Yakipita masaa yote hayo hola; najipanga kusubiria siku

Kumbe placement inakuwepo mapema hivyo!
Basi mimi nitakuwa nachungulia zangu saa 6 mchana, saa 9 alasiri, saa 12 jioni na saa 3 usiku basi. Yakipita masaa yote hayo hola; najipanga kusubiria siku inayofuata.
Cheki maramoja kwasiku inatosha
 
Stages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
7. Subiri tutakupigia simu mbona unaharaka sana?.🥶
 
Stages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
Kuna hatua moja hujaiweka hapo.
UKishapata Placement unaambiwa subiri tena tutakupigia simu.

Katibu mkuu utumishi amelielezea hilo vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom