kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Ahaaa sawa mkuu pole kwa changamoto hiyo.Meseji ya jana usiku wa manane....
Ahaaa sawa mkuu pole kwa changamoto hiyo.Meseji ya jana usiku wa manane....
Waombe ndugu zako wakutumie kwa bus"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"
Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Duuh pole Mkuu"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"
Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Ulifanikiwa kufanya?"Habari Mkuu, leo nimejichanganya sana, wakati natoka home kuja hapa Mkoani kwenye usaili nimejikuta nimebeba vyeti vyote copy badala ya vile orignal halafu usaili ni kesho asubuhi saa 1, sasa sijui nitawaelezaje wale wakaguzi wa utumishi ili niweze kuingia kupiga written yao, post ni Trade Officer II"
Samahani kwa wazoefu, eti kwenye hii scenerio mtu anaweza kuhurumiwa kweli ?
Kimya chake kinatutia mashaka.Ulifanikiwa kufanya?
Huyu Sidhani kama alifanikiwa Kuna mtu written yetu alikuwa na case kama hii Utumishi walimpiga chini hawakumruhusuKimya chake kinatutia mashaka.
Dah.! Mpambanaji amekosa fursa. Asikae mbali na hii thread, kuna mengi ya kujifunza.Huyu Sidhani kama alifanikiwa Kuna mtu written yetu alikuwa na case kama hii Utumishi walimpiga chini hawakumruhusu
Hakuna kilichowezekana kwenye huu uzembe.Huyu Sidhani kama alifanikiwa Kuna mtu written yetu alikuwa na case kama hii Utumishi walimpiga chini hawakumruhusu
Hakika mkuu aongeze tu umakini PSRS hawana huruma na joblessDah.! Mpambanaji amekosa fursa. Asikae mbali na hii thread, kuna mengi ya kujifunza.
Pole Sana mkuu na hongera kwa kutokukata tamaa💪💪.... jipange kwa saili zijazo PSRS ata ukiwa na kakasoro kadogo hawakuelewi wanachukulia Advantage hapo hapo ili wakupunguze umakini ni muhim Sana mkuuHakuna kilichowezekana kwenye huu uzembe.
"..Hi Bro, these people wamenizuia kufanya hii paper tena hawajataka kabisa kusikiliza na kuelewa utetezi wangu wakidai kuwa sikuwa makini kwenye maandalizi yangu ya kuja kufanya usaili.
Natua silaha chini narudi nyumbani, until further fight, I hope we'll win the battle.
Thank you Kaka.."
A real stress baada ya kureport kazini kuitwa uanze kazi kuna taasisi huu ni mwezi wa nane 8 wapo kimya ukiwapigia wanakwambia kuwa na subira.........Stages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
Dah! Kweli tunapitia mengi.A real stress baada ya kureport kazini kuitwa uanze kazi kuna taasisi huu ni mwezi wa nane 8 wapo kimya ukiwapigia wanakwambia kuwa na subira.........
Mbaya zaidi unaonekana msumbufu jobless tunapitia mengi .....
Pole sana mkuu. Next time fanya kweli. Usiwahurumie na waoHakuna kilichowezekana kwenye huu uzembe.
"..Hi Bro, these people wamenizuia kufanya hii paper tena hawajataka kabisa kusikiliza na kuelewa utetezi wangu wakidai kuwa sikuwa makini kwenye maandalizi yangu ya kuja kufanya usaili.
Natua silaha chini narudi nyumbani, until further fight, I hope we'll win the battle.
Thank you Kaka.."
7. Baada ya kupangiwa kazi kuna kusubiri kupigiwa simu na mwajiri - More stressStages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
Kuwa serious mkuu. Mwezi wa nane (8) tangu uripoti wanakuambia usubiri. Mimi nina wiki ya pili sasa nasubiri kupigiwa simu. Hizi kazi zina full stress.A real stress baada ya kureport kazini kuitwa uanze kazi kuna taasisi huu ni mwezi wa nane 8 wapo kimya ukiwapigia wanakwambia kuwa na subira.........
Mbaya zaidi unaonekana msumbufu jobless tunapitia mengi .....
Na wala hawajali.........Dah! Kweli tunapitia mengi.
Ila miezi 8 nayo ni too much sasa.
Dah, mpaka kashfa tena?Na wala hawajali.........
Zaidi ya kukukashifu kijana kuwa na subira.......
Pole sana mkuu. Next time fanya kweli. Usiwahurumie na wao
Mpaka upate check number ndio utajihesabu ni mwajiriwa, tofauti na hapo utasubiri sana. Binafsi naendelea tu na shughuli zangu mpaka nitakapopigiwa simu na mwajiri.Dah, mpaka kashfa tena?
Ukiitwa kazini kwa ile barua, kujaza taarifa zako na kusaini docs husika kwenye hiyo taasisi husika kwani si unakuwa tayari kwenye payroll hata kama utasubiri kwa miezi kadhaa ?
Ama haya mambo yakoje huko utumishini?