HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah Mungu mkubwa wakuu,hata msikate tamaa na kuvuta subila tu,kila kitu kina mda wake
Wife alifanya oral mwezi wa pili kaja kupata palcement leo,,Inaanza placement kwenye account yako ndo linafata PDF....
Anaenda kuwa mwl wa Halmashauri ipi ?
 
Back
Top Bottom