HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Mungu ni mwaminifu sana kwa wale wamtegemeao, hongera sana mkuu, shuhuda hizi zinatia moyo. Hongera sana nakutakia heri ktk utumishi wako
 
Huwezi kuzuiwa bila sababu, Acha kupotosha.
Sikiliza dogo nikuambie, wewe unasugua benchi na unawatetea Hawa wachawi wanyama wakubwa
Mchepuko wangu ni smart lady, kaitwa nafas ya admission officer , kaenda kuhudhuria usaili, kafika eneo husika katika kuulizia akaelekezwa hall ambalo silo lenyewe , badae tena bahat akamuona mtu mwingine akamuuliza ndio akamuambia kua sio hapa ni hall Fulani, hivyo kutokana na umbali kidogo wa Hilo eneo japo ni ndani humo humo ikabid akimbie Sasa kuelekea mahala husika 🤬 , wakati analifikia eneo husika akaona wenzake baadhi wa mkoa huo anafanya usaili wanamalizikia kuingia kwenye chumba Cha usaili, kufika akazuiliwa na watu wawili wa UTUMISHI mmoja wa kike na mwingine wa kiume 🤬🤬🤬, wakaanza kumuambia eti amechelewa kwamba asubiri hapo nje huyo administrator huko ndani amalizie kuwasetia mtihani kwenye kompyuta..wakati anasubiri my darling mchepuko wakaanza kumsema kwa maneno ya shombo, dharau na kejeli kubwa, wakat hayo yote yanaendelea my darling mchepuko kakaa kimya na Kuna mahal mtu wa makamo Afisa anyefanya kazi Hilo eneo, alikua anaangalia sinema yote pale, basi baada ya kumkejeli kwa zaidi ya nusu saa ndio admin Anatoka nje , wanakuambia eti huyu kaja sasahivi 🤬🤬🤬🤬🤬, kamjeukia anamuuliza ndio unakuja sasahivi, akamuambia nimekuja zaidi ya 45 min zilizopita, jamaa kutokana na mihemko ya wale watumishi wengine wawili akamuambia tu pole haitafaa tena kufanya mtihani mana nimeshamaliza kuseti, my darling mchepuko akaondoka zake kwa huzuni kuu kmmake..wakati anapita yule mtu wa makamo aliekua anaangalia sinema yote , akamuambia binti nenda nyumban tena kwa furaha na amani haikua riziki yako na ulichofanyiwa ni unyama na sio Haki...my darling mchepuko hakujibu kitu akaondoka, immediately akanichek ndio anannieleza haya yote nikataka Kuja Hilo eneo kmmke my darling mchepuko akanituliza kua nisije ..nilimaindi sana

Nataka niongee na nyinyi watu wa UTUMISHI mnaosoma hapa, asilimia kubwa ya watumishi wenu ni wapumbavu sana na Wana roho mbaya sana, watu Wana tafuta hizi kazi kwa jasho machozi na damu, wewe sababu una kazi na unasimaa kwenye mstari wa mtu kukosa ama kupata kazi unaona wengine Mavi tu kumbe haujui kua Mungu ndio mgawa riziki na sio nyie mbwa. Nimewatukana haswa yule jamaa na yule dada na watumishi wenye tabia hio mbovu na ya kinyama. Kwaio bwana Mdogo acha kuwatetea watumishi wa aina hii ...ni wachawi tu. Halafu unamfanyia mtu hivyo unaona umemkomoa kumbe Mungu ndio amemfungulia milango mingine mikubwa zaidi..na naamin hata wale waliokua wanamkejeli elimu zao ni ndogo sana ama mbovu kumshinda my darling mchepuko. wakati mwingine unajiuliza mbona una kazi nzuri ila una mikosi mara hauzai , mara mgumba, mara mlevi , mara malaya, mara ndoa yako inapumulia mashine , mara unaumwa magonjwa yasiyoeleweka, wewe ni mtu wa hospital tu, kumbe ni MALAANA mnajitafutia kwa kuwafanyia watu ubaya. MLAANIWE kmmake.

Sasa unaniandikia mambo ya my darling wako Hapa na emoji zako za kifala unadhani tupo kwenye jukwaa la mapenzi?

Tulia ndugu, ww na huyo darling wako mngewajua vzr hao utumishi bc mngewahi kufika, sasa yeye kuelekezwa hall tofauti hapo kosa la utumishi liko wapi?

Tutolee upuuzi wako hapa
 
Sasa unaniandikia mambo ya my darling wako Hapa unadhani tupo kwenye jukwaa la mapenzi?

Tulia ndugu, ww na huyo darling wako mngewajua vzr hao utumishi bc mngewahi kufika.

Tutolee upuuzi wako hapa
Siondoi...kama vipi wewe na wao wote MLAANIWE kumamakeh. Kama vipi njooni niwafyatulie risasi. 🚮🚮🚮 Unafikiri kwa kuwatetea ndio watakupa kazi ? 😀😀🚮🤬 Utaendelea kusugua bench kmmake.
 
Kwa akili yako wote humu hatuna kazi?
Mkuu kama huna kazi n ww tuu na sio wote humu, kama unasubiri uajiriwe serikali bc ww n mpumbavu.

Kuwa hapa n kwamba huna kazi serikalini na sio huna kazi kabisa.
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Hongera sana
 
Acha lugha za matusi kijana we, utawekwa pabaya
Sikiliza dogo nikuambie, wewe unasugua benchi na unawatetea Hawa wachawi wanyama wakubwa
Mchepuko wangu ni smart lady, kaitwa nafas ya admission officer , kaenda kuhudhuria usaili, kafika eneo husika katika kuulizia akaelekezwa hall ambalo silo lenyewe , badae tena bahat akamuona mtu mwingine akamuuliza ndio akamuambia kua sio hapa ni hall Fulani, hivyo kutokana na umbali kidogo wa Hilo eneo japo ni ndani humo humo ikabid akimbie Sasa kuelekea mahala husika 🤬 , wakati analifikia eneo husika akaona wenzake baadhi wa mkoa huo anafanya usaili wanamalizikia kuingia kwenye chumba Cha usaili, kufika akazuiliwa na watu wawili wa UTUMISHI mmoja wa kike na mwingine wa kiume 🤬🤬🤬, wakaanza kumuambia eti amechelewa kwamba asubiri hapo nje huyo administrator huko ndani amalizie kuwasetia mtihani kwenye kompyuta..wakati anasubiri my darling mchepuko wakaanza kumsema kwa maneno ya shombo, dharau na kejeli kubwa, wakat hayo yote yanaendelea my darling mchepuko kakaa kimya na Kuna mahal mtu wa makamo Afisa anyefanya kazi Hilo eneo, alikua anaangalia sinema yote pale, basi baada ya kumkejeli kwa zaidi ya nusu saa ndio admin Anatoka nje , wanakuambia eti huyu kaja sasahivi 🤬🤬🤬🤬🤬, kamjeukia anamuuliza ndio unakuja sasahivi, akamuambia nimekuja zaidi ya 45 min zilizopita, jamaa kutokana na mihemko ya wale watumishi wengine wawili akamuambia tu pole haitafaa tena kufanya mtihani mana nimeshamaliza kuseti, my darling mchepuko akaondoka zake kwa huzuni kuu kmmake..wakati anapita yule mtu wa makamo aliekua anaangalia sinema yote , akamuambia binti nenda nyumban tena kwa furaha na amani haikua riziki yako na ulichofanyiwa ni unyama na sio Haki...my darling mchepuko hakujibu kitu akaondoka, immediately akanichek ndio anannieleza haya yote nikataka Kuja Hilo eneo kmmke my darling mchepuko akanituliza kua nisije ..nilimaindi sana

Nataka niongee na nyinyi watu wa UTUMISHI mnaosoma hapa, asilimia kubwa ya watumishi wenu ni wapumbavu sana na Wana roho mbaya sana, watu Wana tafuta hizi kazi kwa jasho machozi na damu, wewe sababu una kazi na unasimaa kwenye mstari wa mtu kukosa ama kupata kazi unaona wengine Mavi tu kumbe haujui kua Mungu ndio mgawa riziki na sio nyie mbwa. Nimewatukana haswa yule jamaa na yule dada na watumishi wenye tabia hio mbovu na ya kinyama. Kwaio bwana Mdogo acha kuwatetea watumishi wa aina hii ...ni wachawi tu. Halafu unamfanyia mtu hivyo unaona umemkomoa kumbe Mungu ndio amemfungulia milango mingine mikubwa zaidi..na naamin hata wale waliokua wanamkejeli elimu zao ni ndogo sana ama mbovu kumshinda my darling mchepuko. wakati mwingine unajiuliza mbona una kazi nzuri ila una mikosi mara hauzai , mara mgumba, mara mlevi , mara malaya, mara ndoa yako inapumulia mashine , mara unaumwa magonjwa yasiyoeleweka, wewe ni mtu wa hospital tu, kumbe ni MALAANA mnajitafutia kwa kuwafanyia watu ubaya. MLAANIWE kmmake.
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu. Niliujua huu Uzi 2023 kipindi ambacho nilikuwa siamini katika kupata kazi serikalini nikaamini kila kitu ni connection lakini kupitia shuhuda za wadau mbalimbali kwenye huu Uzi zikanimotivate nikajikuta na Mimi nimefungua ajirapotal mwaka 2024 mwezi wa 7 zilitoka nafasi Kigamboni MC na Kinondoni MC nika apply zote mwezi wa 8 zikatoka zengine za MDA's & LGA's nikaapply. mwezi wa 10 shortlisted ya Kigamboni na Kinondoni ikatema tareh 05/10 nikafanya saili yangu ya kwanza Kigamboni MC zilikuwa zinahitajika nafasi 10 nikafika mpaka oral matokeo yametoka wakachukuliwa watu wa 4 tu badala ya 10 sijui nafasi 6 zilipelekwa wapi hii kitu iliniumiza Sana na kunikatisha tamaa nikajipanga Tena kwa weekend inayofuata nilikuwa na saili nyengin Kinondoni MC nikapiga written jion matokeo yanakuja nikala ndoige NOT SELECTED FOR ORAL nikazidi kuvunjika moyo lakin Kuna mshikaji wangu wa karibu akanipa moyo tusikate tamaa mwezi 4 tukaitwa saili watu 5000+ MDA's & LGA's nikapiga written Nikatoboa tukaitwa oral watu 1400 Dodoma secondary nikafunga safari mpaka Dom nikafikia Lodge nikaamka saa 8 usiku nikasali Sana nikasema "Mungu kama ambavyo nashuhudia wengine kama ambavyo napongeza wengine onesha ukuu wako kwangu nami nipate cha kushuhudia nami nikapate kupongezwa huu uwe usahili wangu wa mwisho sitaki database naomba nipate direct placement" asubuh yake nikaamkia kupiga Oral
Hatimae Jana tarehe 17/06 Mungu ameniona na amenijibu mtumishi wake na kwa mapenzi yake nimelamba asali ya nyuki......
Ndugu zangu tusikate tamaa, tuendelee kuwa na Imani huu mwaka kila mtu atalambishwa asali🙏🙏🙏
Hongera mkuu ukawe Mtumishi Mtumishi mwema, kila la kheri usisahau kutuombea tu.
 
Acha lugha za matusi kijana we, utawekwa pabaya
Mimi mwenyewe mbaya kmmake...tatizo mmekua na nidhamu mbovu za uoga ...mpina jana kaongea watu wanashangaa kama kwamba ni kitu Cha ajabu ..kwenye ukweli tutasema tu ...I don't give a fuuuuuk.
 
Sikiliza dogo nikuambie, wewe unasugua benchi na unawatetea Hawa wachawi wanyama wakubwa
Mchepuko wangu ni smart lady
Mwanamke ambaye ni smart hawezi kuwa mchepuko, Acha upumbavu ww bwana mdogo.
Angekuwa anajitambua asingekuwa mchepuko.

Ww ulivyo mpumbavu, unaweza kuwa na mchepuko ila huwezi kumpa kazi 😂

Kwanza kwann umeruhusu akaombe Kazi kwa wachawi? Au nyie wote ni wachawi? 😂

Pumbavu ww.

Utumishi shikilieni hapo hapo, msiachie.
 
why do we verify document

Importance of following up selection process during admission

Essential information found on university guidebook

Challenges you expect as an admission officer

(Lugha n tofauti kidogo).. maswali ya oral admission officer nactvet
Ila for serious Haya maswali yanajibika labla tuu uwe hujayachukulia serious
 
Back
Top Bottom