Duh kweli Mungu ni mkuu,I wish hata wangenikosoa akili yangu labda ingeamkaAmin utapata mi nilichemka mpka nikaambiwa mbona huelewi maswali Ila neema ya Mungu imenitembelea
Duh kweli Mungu ni mkuu,I wish hata wangenikosoa akili yangu labda ingeamkaAmin utapata mi nilichemka mpka nikaambiwa mbona huelewi maswali Ila neema ya Mungu imenitembelea
Umepiga interview leo wapi mkuu?Duh kweli Mungu ni mkuu,I wish hata wangenikosoa akili yangu labda ingeamka
Tupo pamoja mkuu. Tuendelee kuomba pdf ziendelee kutolewa.Shukuran sana mkuu angalau naanza kupata mwanga sasa
feedback yangu ya oral ya leo....utumishi ni wamoto sana....tuombe Mungu muda mwingine it's all about Mungu kukupa upendeleo.
Aisee! Ilikuwa kada gani?Mimi sio wa kusahau nimeulizwa maswali mangapi....
Nakumbuka jamaa wa PSRS, aliwahi kutuambia kuwa haya mambo ya Placement wakati mwingine ni bahati tu, sio kwamba mhusika ana akili nyingi au vipi.Kuna kitu kina itwa neema ya Mungu
Mara nyingi bahati huwa na nafasi kubwa pale wasailiwa mnapokuwa wengi halafu nafasi ni chache. Lakini mkiwa 3 au 4 na nafasi ni moja au mbili aloo!!, lazima upambane.Nakumbuka jamaa wa PSRS, aliwahi kutuambia kuwa haya mambo ya Placement wakati mwingine ni bahati tu, sio kwamba mhusika ana akili nyingi au vipi.
Kwa upande wetu nafasi zilikuwa 119 na wasailiwa tulikuwa 1000+Mara nyingi bahati huwa na nafasi kubwa pale wasailiwa mnapokuwa wengi halafu nafasi ni chache. Lakini mkiwa 3 au 4 na nafasi ni moja au mbili aloo!!, lazima upambane.
Hapo kwa mtu asiye na bahati itampasa asahau.Kwa upande nafasi zilikuwa 119 na wasailiwa tulikuwa 1000+
Ni hatari asee Oral yangu ya kwanza ambayo nilikuwa na hofu nayo ilikua ya School of law, nmekuja hii ya utumishi Last week nikaingia sina hofu kabisa yaani sina pressure nilicho kutana nacho asee.Mimi sio wa kusahau nimeulizwa maswali mangapi....
Best of luckHapo kwa mtu asiye na bahati itampasa asahau.
Mimi binafsi nazidi kuomba licha ya kwamba wasailiwa tulikuwa 3 tu na nafasi ni mbili. Kipindi cha stress hiki.
Tuambie ulichokutana nacho kiongozi😁Ni hatari asee Oral yangu ya kwanza ambayo nilikuwa na hofu nayo ilikua ya School of law, nmekuja hii ya utumishi Last week nikaingia sina hofu kabisa yaani sina pressure nilicho kutana nacho asee.
Pdf zmekuwa za wasiwasi sanaLeo IT kalala sana.
Acha kabisa aisee!Pdf zmekuwa za wasiwasi sana
Dah,Acha kabisa aisee!
ila leo pdf hamnaAcha kabisa aisee!
Itakuja, Kuna watu wameshafanyiwa placement kwenye account zao.ila leo pdf hamna
Navipi mkilingana Mark's na mko wengi mlio linganaSi kwamba walipata yote kwa usahihi. Kinachofanyika ni wanatafuta asilimia ya kile ulichokijibu; mfano, kulikuwa na maswali matano yalikupasa ujibu ndani ya dakika 5, kila swali ni alama 10, kama ulijibu kila swali kwa wastani wa alama 6; utakuwa na jumla ya alama 30 kati ya 50.
Halafu kuna dakika nyingine 5 ulizopaswa kufanya uwasilishaji wa kile ulichoambiwa ukiandae; alama zake zikawa ni 50, lakini kwa namna ulivyowasilisha ukapewa alama 20; ukijumlisha na zile 30, basi utakuwa na jumla ya alama 50, ambazo kwa mujibu wa PSRS unakuwa umefuzu kuingia kwenye database.
Nikirudi kwenye swali lako la kwanini watu wanaajiriwa na wengine hawaajiriwi?; ipo hivi; aliyepata alama nyingi ndiye anayeanza kuajiriwa halafu wanafuata wengine waliopata angalau alama 50 kwenye usaili wa mahojiano. Kwa hiyo vuta subira, nafasi yako ipo. Kwenye usaili wa mahojiano wanaangalia vitu vingi ikiwemo haiba, umahiri na ustadi wa kuwasiliana. Hata mavazi tu yanaweza yakakubeba.