Bongo dar es salaam
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 235
- 589
Asant sana mkuu nawaombea heri mnaosubili nafasi mkono wa Mungu uwagusehongera sana mkuu pdf za leo zimepunguza foleni angalau..
Asant sana mkuu nawaombea heri mnaosubili nafasi mkono wa Mungu uwagusehongera sana mkuu pdf za leo zimepunguza foleni angalau..
Amen. Kwa tuliofanya Oral Interview tarehe 10 June, tutarajie PDF lini?Asant sana mkuu nawaombea heri mnaosubili nafasi mkono wa Mungu uwaguse
Kada gani hyo ilikua dear,na mlifanyia dodoma??Kwa tuliofanya Oral Interview tarehe 10 June, tutarajie PDF lini?
Kuhusu kusubir pdf nafikir haitabiliki,hata mwez tu inatosha kuitwa kazin inategemea na taasisi inauhitaji wa haraka kiasi gani,Kada gani hyo ilikua dear,na mlifanyia dodoma??
Zilikuwa ni Social Workers na Community Development OfficersKada gani hyo ilikua dear,na mlifanyia dodoma??
Duh, Utumishi hawapoi🙄Admission officer paper ilikuwaje wakuu.... wale mliofanya leo
inategemeana na wameambiwa wakareport kazini lini, hivyo inawezekana kazi wakaanza July na mshahara wa July wakapata kutegemeana na taasisi walikopangiwa.Hawa walioitwa kazini leo wanaweza kuanza lini kupokea mshahara wao wa Kwanza ?
Kuna mlamba asali mmoja namsikiliza anilipe pesa ya nauli niliyomkopesha wakati anaenda kwenye usaili.
Nawaombea waanze kazi mapema kwa wivu mkubwa ili na wao waanze ku clear vimeo vya mtaani.inategemeana na wameambiwa wakareport kazini lini, hivyo inawezekana kazi wakaanza July na mshahara wa July wakapata kutegemeana na taasisi walikopangiwa.
Mmh imekuwaje tena mzee ,ndo admission officer auWatu wa UTUMISHI Wana roho mbaya sana ..unamzuia mtu kuingia kwenye chumba Cha mtihani bila sababu ..siajwah kuona kitu kama hiki
Nini kimetokea Mkuu?Watu wa UTUMISHI Wana roho mbaya sana ..unamzuia mtu kuingia kwenye chumba Cha mtihani bila sababu ..siajwah kuona kitu kama hiki
Duuh ndo tumetoka mzee leo wameikaza kimtindo kuliko Quality sssuranceAdmission officer paper ilikuwaje wakuu.... wale mliofanya leo
Huwezi kuzuiwa bila sababu, Acha kupotosha.Watu wa UTUMISHI Wana roho mbaya sana ..unamzuia mtu kuingia kwenye chumba Cha mtihani bila sababu ..siajwah kuona kitu kama hiki
Hapa sina uhakika mkuu me nimesubili wiki 3Amen. Kwa tuliofanya Oral Interview tarehe 10 June, tutarajie PDF lini?
wamoto hao....hawapoiDuh, Utumishi hawapoi🙄
Noma aiseh Mungu akawasimamie naimani utavuka mkuu...Duuh ndo tumetoka mzee leo wameikaza kimtindo kuliko Quality sssurance