HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
So ukipata iyo 3.5 net kama mwajiri na tangazo linavyotaka si unaitwa?
Utaitwa mkuu.
Kuna chuo na chuo kikuu, Taasisi.
Chuo kikuu huwa wanataka ianzie 3.8,
Taasisi na Chuo wanachukua kuanzia 3.5.
 
Leo nataka nitoe ushuhuda wangu kwa Mungu alie hai maana jana nimefurahi mpka sasa nasema Mungu ni mwema sana baada ya kuona nimekuwa shortlisted kwenda written interview nilimuomba sana Mungu anisaidie siku najiandaa nilifanya written nikawa selected for oral interview Tarehe 9 May jana nimelamba asali kitu mhimu nilicho gundua Mungu ukimuomba ni mwaminifu sana maana kama mimi nimepata naamini hata wewe utapata nilitoa sadaka yangu ya sabuni mafuta na dawa ya mswaki kwa yatima na wafungwa gerezani ambao hawana ndgu kabisa wale wafungwa maombi walio niombea sijawahi ombewa popote yalikuwa ni maombi ya machozi baada ya hapo nilianza kuota ndoto nikiwa kazini leo nimeramba asali jina la Bwana litukuzwe
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
2 days kimya
So get this clear:

No one is coming to save you.
No one is checking if you ate.
No one cares about your sad story unless it's on a success podcast after you make it.

Fix your life. Or die watching the world pass you by.

Because being a broke man is not just hard,,,it’s f*cking humiliating.
And no one will respect you until you rise from the dirt they left you in.
So get up. Silently. Violently. Consistently.
And earn your place in a world that never handed you one.
 
Dalili ipo maana bado ni mapema sana .. labda watakuwa wana compile files😀😀😀
Daah ngoja tuendelee kusubiri mana hapa nimeitwa saili tareh 22 lakini mood ya kusoma haipandi kabisa
 
Back
Top Bottom