HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ivi kwenye barua ya maombi anunani tunaweka ya utumishi au ya VC?
anuani ya cv ?? kwan unajiomba kazi wewe ?? Kwenye upande wa receiver address soma tangazo linataka barua iwe directed wapi kam utumishi au organization husika mkuu🫡
 
Naombeni kuuliza wakuu,hivi wote wanaopata placement wanakua walijibu maswali yote kwa usahihi?
 
Si kwamba walipata yote kwa usahihi. Kinachofanyika ni wanatafuta asilimia ya kile ulichokijibu; mfano, kulikuwa na maswali matano yalikupasa ujibu ndani ya dakika 5, kila swali ni alama 10, kama ulijibu kila swali kwa wastani wa alama 6; utakuwa na jumla ya alama 30 kati ya 50.
Halafu kuna dakika nyingine 5 ulizopaswa kufanya uwasilishaji wa kile ulichoambiwa ukiandae; alama zake zikawa ni 50, lakini kwa namna ulivyowasilisha ukapewa alama 20; ukijumlisha na zile 30, basi utakuwa na jumla ya alama 50, ambazo kwa mujibu wa PSRS unakuwa umefuzu kuingia kwenye database.
Nikirudi kwenye swali lako la kwanini watu wanaajiriwa na wengine hawaajiriwi?; ipo hivi; aliyepata alama nyingi ndiye anayeanza kuajiriwa halafu wanafuata wengine waliopata angalau alama 50 kwenye usaili wa mahojiano. Kwa hiyo vuta subira, nafasi yako ipo. Kwenye usaili wa mahojiano wanaangalia vitu vingi ikiwemo haiba, umahiri na ustadi wa kuwasiliana. Hata mavazi tu yanaweza yakakubeba.
 
Shukuran sana mkuu angalau naanza kupata mwanga sasa
 
Back
Top Bottom