HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii barua inahitaji marekebisho Gani Kwa Wenye uzoefu, na hapo sehemu iloachwa wazi maana yake naprint then nasign halaf naiscan naipakia au inakuaje hapo Kwa wazoefu jaman.
Hapo kweny ndugu/mh haina ulazima sana kuwepo.
Pia kweny iyo address kuna vingin sio vya muhimu sna kuweka ikiwa ivi inatosha

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S.L.P. 2320, DODOMA.

Pia kweny signature yako unaweza ukasain ikiwa hivyohivyo softcopy bila kuiprint the rest iko pow mkuu
 
Hii address ndio wameweka chini ya zile pdf za kutangaza ajira mkuu?? If so upo sahihi

Mimi najuaga ni

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S.L.P. 2320,
DODOMA.
Hiyo ni sample yabarua nmekuta mtandaon Sasa nataka niwe nayo kama blueprint niwe nabadilisha address tu inapotakiwa na hapo kwenye saini kwahyo naandika mfano (A.H.Zaburi) na je sehemu ya saini ni hapo au ni chini kabsa baada ya kuandika full name
 
Hapo kweny ndugu/mh haina ulazima sana kuwepo.
Pia kweny iyo address kuna vingin sio vya muhimu sna kuweka ikiwa ivi inatosha

KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA,
S.L.P. 2320, DODOMA.

Pia kweny signature yako unaweza ukasain ikiwa hivyohivyo softcopy bila kuiprint the rest iko pow mkuu
Hiyo ni sample yabarua nmekuta mtandaon Sasa nataka niwe nayo kama blueprint niwe nabadilisha address tu inapotakiwa na hapo kwenye saini kwahyo naandika mfano (A.H.Zaburi) na je sehemu ya saini ni hapo au ni chini kabsa baada ya kuandika full name
 
Leo nataka nitoe ushuhuda wangu kwa Mungu alie hai maana jana nimefurahi mpka sasa nasema Mungu ni mwema sana baada ya kuona nimekuwa shortlisted kwenda written interview nilimuomba sana Mungu anisaidie siku najiandaa nilifanya written nikawa selected for oral interview Tarehe 9 May jana nimelamba asali kitu mhimu nilicho gundua Mungu ukimuomba ni mwaminifu sana maana kama mimi nimepata naamini hata wewe utapata nilitoa sadaka yangu ya sabuni mafuta na dawa ya mswaki kwa yatima na wafungwa gerezani ambao hawana ndgu kabisa wale wafungwa maombi walio niombea sijawahi ombewa popote yalikuwa ni maombi ya machozi baada ya hapo nilianza kuota ndoto nikiwa kazini leo nimeramba asali jina la Bwana litukuzwe
Bwana ni mwema, hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema
 
Sahihi ipo sawa tu mkuu.

Back
Top Bottom