HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mmmhh aya tuendelee kupambana

Lakin haya majaa yanayopiga 98,
97 yanafanyaje fanyaje hizi paper ??

Maana licha ya kuanza maandalizi mapema bado nimeambulia 67

Jamani ,, mtusaidie wenzenu tufanyaje hasa nasisi tutoboe ?
Ni kujipanga tu na kuweka akili sawa kwa ajili ya usaili mkuu. Ukiwa muoga ni dalili namba moja ya kufeli paper.
 
Jamani samahanin wakubwa .... Mim nimefanya usaili wa ualimu lakini kwabaati mbaya au nzuri sijapangiwa kazi adi leo lakini portal yangu ipo iviiii... Je apo kimeshanilambaaaa niendeleee kukomaa na mitumba yangu
Screenshot_2025-06-16-00-27-47-34_e40d91bb507e620b2d96d39df18efe17.jpg
 
Nakumbuka kuna kipindi baada ya kumaliza form four nilipata challenge kidogo ya kiafya iliyoniforce nikae nyumbani miaka sita!

Nilishuhudia rafiki zangu na classmates hadi niliowazidi academic muscles wakimaliza advance, then chuo na wengine wakipata jobs na kuoa kabisa ingali mimi nikiwa nimekwama pale palee, lost!.

Ila miraculously tu nikaanza kupona taratibuu, nikaanza Diploma, nika pass vyema sana, nikaunga Bachelor nayo nikamaliza.

Recently, Sir God amemaliza utata amenipa comeback moja matata sanaa! Nimesahau kila maumivu, I remember those dark days and just smile with tears in my eyes.

Wakuu, haijalishi situation ni ngumu vipi, ushindi utapatikana tuu, Mungu atakuvusha tu in ways hujawahi imagine, jishkilie tu.

Maumivu huwezi zuia(Wewe ni binadamu) ila always kumbuka kurudi na kuwa na matumaini.
Mimi wakati nakaribia kufanya mtihani wa kdato cha 6 ,wakati wa mtihani na baada ya mtihani nilliumwa ugonjwa mmoja ambao mgonjwa unaonekana kama una ngwengwe. Hadi nimekuja kupata tiba sahihi ilikuwa ni miezi mi4 baada ya kumaliza form 6 wakati huo nishapoteza zaidi kg 10 na nguo zangu zote hazinitoshi.

Baada ya kuanza dose na kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya, nilikuja kuimarika kiafya hadi muonekano ukabadilika maana nilinenepa hadi nikawa najiogopa. All in all ni experience ya kuogofya niliipitia maana wakati naumwa pia nilimpoteza ndugu yangu mwingine kwa ugonjwa huo huo ulionipata mimi.
 
Duuh! Pole na hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom