HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Leo nataka nitoe ushuhuda wangu kwa Mungu alie hai maana jana nimefurahi mpka sasa nasema Mungu ni mwema sana baada ya kuona nimekuwa shortlisted kwenda written interview nilimuomba sana Mungu anisaidie siku najiandaa nilifanya written nikawa selected for oral interview Tarehe 9 May jana nimelamba asali kitu mhimu nilicho gundua Mungu ukimuomba ni mwaminifu sana maana kama mimi nimepata naamini hata wewe utapata nilitoa sadaka yangu ya sabuni mafuta na dawa ya mswaki kwa yatima na wafungwa gerezani ambao hawana ndgu kabisa wale wafungwa maombi walio niombea sijawahi ombewa popote yalikuwa ni maombi ya machozi baada ya hapo nilianza kuota ndoto nikiwa kazini leo nimeramba asali jina la Bwana litukuzwe
 
Hongeraaa ukawe mtumishi mwema na bora
🫡🫡
 
Sadaka inaweza kufika tusipofika!
Sadaka inaweza kuvuka tusipovuka!
Sadaka inaweza kusema tusichoweza kutamkaa!

What a spiritual code!

Be blessed Mkuu!

Hakika jina la Bwana libarikiwe, I'm tapping the grace that lifted you.

Na Mimi nitaleta ushuhuda
 
Watu wa UTUMISHI Wana roho mbaya sana ..unamzuia mtu kuingia kwenye chumba Cha mtihani bila sababu ..siajwah kuona kitu kama hiki
Ebu elezea vizuri. Kama kweli hii ni your personal experience fafanua nini hasa kimetokea ili kama kuna namna ya kukupatia haki yako uweze kuipata. False allegations hazitakiwi kuwepo.
 
Leo nataka nitoe ushuhuda wangu kwa Mungu alie hai maana jana nimefurahi mpka sasa nasema Mungu ni mwema sana baada ya kuona nimekuwa shortlisted kwenda written interview nilimuomba sana Mungu anisaidie siku najiandaa nilifanya written nikawa selected for oral interview Tarehe 9 May jana nimelamba asali kitu mhimu nilicho gundua Mungu ukimuomba ni mwaminifu sana maana kama mimi nimepata naamini hata wewe utapata nilitoa sadaka yangu ya sabuni mafuta na dawa ya mswaki kwa yatima na wafungwa gerezani ambao hawana ndgu kabisa wale wafungwa maombi walio niombea sijawahi ombewa popote yalikuwa ni maombi ya machozi baada ya hapo nilianza kuota ndoto nikiwa kazini leo nimeramba asali jina la Bwana litukuzwe
Mungu ni mwema , kila wakati.

Kila wakati , Mungu ni mwema.
 
Hongera sana mkuu. Nakutakia safari njema kwenye utumishi wako.
 
Back
Top Bottom