HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nacho jiuliza itasomaje not selected for oral interview wakati uliingia kwenye oral interview??
Swali zuri
Ipo hivi kuna web na kuna app .....
1.Web huwa haibadiliki yenyewe ukiingia oral iko vilele....
2.App uku utumishi ndio wana updates matokeo na kama ulifaulu oral inabaki Ivo Ivo selected for oral, ila kama ni ndoige unakutana na neno not selected jua umeisha....... Jipange upya
 
Kama ulizingatia hivyo vigezo wanavyoviangalia kwenye oral interview, usiwe na shaka kabisa. Mambo yatajileta yenyewe.
 

Attachments

  • Screenshot_20250608_151320_M365 Copilot.jpg
    Screenshot_20250608_151320_M365 Copilot.jpg
    257.8 KB · Views: 26
Back
Top Bottom