HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu naomba kujua, ni hivi nilifanya oral tarehe 29 may, je kwenye upande wa status inapaswa ibadilike baada ya kufanya oral? Na inabadilika baada ya siku/muda gani?
Ina chukua three weeks or one month,or sometimes can take one year kulingana na nafasi zilizopo au kulingana na pass mark yako ndioo itaamua uwe placed kwa muda gani boss,ila usijali utapangiwa kituo Cha kazi tu, endelea kuomba Mungu
 
Hahaha 🤣 🤣 😂 sitaki kukumbuka issue za status
According to wadau umu status inatakiwa iwe selected for oral both web and app tofauti na apo mama Jeni bye bye jaribu tena badae

Welcome 🤗 🤗 to the stress......
kwangu imeandika select for oral kwenye web ila app hakuna kitu ipo kwa watu wengi sana.

usikatishe watu tamaa
 
Ukiitwa kazini niite dog 🐕 🐕 inatakiwa iwe both selected for oral hili swala nime prove na mimi niliingia oral mara ya kwanza web selected for oral app not selected sijawahi pata placement

Ya pili selected for oral both app and web placement chapu kwa kesi ya kutokuwa na kitu sijui
Mbona kam unaanz kututisha mkuu kwamaan iyo ikiwa zimepishan web na app wew kuitwa kazin sahau?
 
Ukiitwa kazini niite dog 🐕 🐕 inatakiwa iwe both selected for oral hili swala nime prove na mimi niliingia oral mara ya kwanza web selected for oral app not selected sijawahi pata placement

Ya pili selected for oral both app and web placement chapu kwa kesi ya kutokuwa na kitu sijui
Ikiwa kwenye app SELECTED FOR oral na web imebaki vile vile "shortlisted" je?
PS:Nilifanya oral tu hakukuwa na written.
 
Back
Top Bottom