Mimi majina yangu yapo hivo hvo kama usemavyo wewe majina ya kwenye vyeti jina la kati ni initial na kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba yapo majina matatu na sijawahi pata kikwazo chochote kwenye saili.JINA LAKO: FRANK
JINA LA BABA: THOMAS MINJA KALOLO
Hayo ndo maelezo yaliopo kwenye cheti changu jina langu lipo moja tu, na jina la baba yapo majina yake matatu, Sasa sjajua vyeti vingine vipo Kwa mfumo Gani lkn changu ndo kipo hvo
Nashukuru Kwa ufafanuzi maana jina langu natakiwa niwekee Moja tu, na jina la baba ni matatu Tena lakwanza la baba haliwez kuanza na initial lkn ntajitahd kupata affidavit Kwa tahadhari tuMimi majina yangu yapo hivo hvo kama usemavyo wewe majina ya kwenye vyeti jina la kati ni initial na kwenye cheti cha kuzaliwa jina la baba yapo majina matatu na sijawahi pata kikwazo chochote kwenye saili.
Mkuu Less than au more than 4 weeks?Asante sana mkuu, kwangu tokea oral mpk placement imechukua karibu mwezi
Less mkuu maana ni kama wiki tatu na siku nne hiviMkuu Less than au more than 4 weeks?
Hongera mkuu!. Rise and shine.Less mkuu maana ni kama wiki tatu na siku nne hivi
Yes mkuu itakuwa vizuri ukichukua affidavit kwa tahadhari mana hawatabirikagi wakiamua kutaka kupunguza watuNashukuru Kwa ufafanuzi maana jina langu natakiwa niwekee Moja tu, na jina la baba ni matatu Tena lakwanza la baba haliwez kuanza na initial lkn ntajitahd kupata affidavit Kwa tahadhari tu
Kabsa hivi ni shingapi hii affidavit na ni valid Kwa muda Gani? Na je nikienda mahakaman za mwanzo naweza pataYes mkuu itakuwa vizuri ukichukua affidavit kwa tahadhari mana hawatabirikagi wakiamua kutaka kupunguza watu
Injinia kuna received yoyote umebakisha?nishakandwa siku nyingi..
Pm yangu inashda nashndwa kufungua njoeni watsap 0711406248Yeyote mwenye sahili wiki ijayo na hajui atafikaje oral aje pm
Hongera mkuu kila.la heri kwenye mapambano mapyaWakuu nami nichukue wasaa huu kuwapa ushuhuda kuwa hatimaye nimefanikiwa kupata wito wa kuutumikia umma
Napenda sana kumshukuru Mungu maana kwa kweli mpk napata ujumbe wa Placed as ni miujiza tu. Safari yangu ilianza mwaka jana mwezi wa 8 zilipotangazwa nafasi za LGA na MDA nikapewa taarifa na Mama yangu mzazi sikuwa nimejisajili ajira portal baada ya msukumo mkubwa nikafungua tena zikiwa zimebaki siku chache deadline kufika hatimaye nikafanya maombi nikaachana nayo mwezi wa pili au watatu mwaka huu nikasema ngoja nichungulie, nilipofungua akaunti yangu nikaona nipo shortlisted sikuamini ila kwa kuwa muda wa kufanya written ulikuwa upo karibu ikabidi nikafate madesa ya chuo nilipoyaacha kweli nikafanikiwa nikaanza kupiga msuli japo mengi nilishayasahau maana ni takribani miaka minane sijawahi kukutana na madesa basi nikapiga msuli nikajitahidi kucover maeneo mengi nikazama kwenye pepa, kwenye pepa nikakuta kipengele nilichokipuuza kuwa hakitoki ndiyo huko pepa imetungwa ila Mungu mwema idea hazikuwa zimepotea nikajibu sikuacha swali hata moja japo pepa ilikuwa tight nikamaliza nikaendelea na mambo yangu
Baada ya muda nikasikia majibu yametoka nikapata hofu sana na kutokujiamini ila nikajipa moyo tu nikafungua, kuingia naona nimechaguliwa kwenda oral Dom, nilikuwa home mwenyewe nilikimbia ndani ya nyumba kwa furaha maana sikuamini basi nikaanza tena msuli ikabidi nitafute hadi madesa ya advance kuna app za notes za advance nikameza nikaandaa summary nikameza siku ya alhamis nikaenda Dom maana usaili ulikuwa ijumaa
Siku ya usaili tukagawanywa kama makundi zaidi ya 10 maana tulikuwa wengi kiasi na panel ilikuwa na watu kadhaa nikawapima wale wenzangu kama kwenye kundi letu wanatakiwa watu watano nami nimo, zamu yangu ilipofika nilihakikisha presha ipo chini kwa kunywa maji ndani mule maswali yalikuwa matano tu na kwa kweli Mungu alikuwa mwema nilijibu maswali yote kwa ufasaha nikamaliza pepa nikaamsha maana jpili yake nilikuwa na pepa za TRA
Basi ikabaki kusikilizia mikeka ikitoka naangalia nakuta hola pepa ya oral ilikuwa mwezi wa nne mikeka imetoka kadhaa yote simu hatimaye wiki hii siku ya jtano jioni nafungua akaunti nikaona notification nimeitwa sikuamini jtano huwa ninafanya ibada ya mfungo na siku nilidedicate kwa ajili ya majibu ya usaili na kweli maombi yangu yakajibiwa, nilipoona na nilikuwa sijafturu njaa yote iliisha, usiku usingizi wote ukapaa kila saa nachungulia kama kweli naona ni kweli
Basi nikamshukuru Mungu kwa kunitendea wema nimeapply mara moja nikaitwa written hiyohiyo oral mpk kuitwa kazini
Wale ambao bado msikate tamaa Mungu ni mwaminifu sana nanyi atawatendea msikate tamaa
Wakuu nami nichukue wasaa huu kuwapa ushuhuda kuwa hatimaye nimefanikiwa kupata wito wa kuutumikia umma

Kabsa hivi ni shingapi hii affidavit na ni valid Kwa muda Gani? Na je nikie
Asante sanaHongera mkuu kila.la heri kwenye mapambano mapya
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwemaWanangu wa faida ... Nimefanya interview ya written Jana
Nimepita kwenda oral ... I hope nitakuja na ushuhuda
.
Zaburi 75:6-7
Kwa kweli, kwanza tunamuombea atoboe kuingia oralNafatilia sana humu ila sku huyu El marabiosh akipata basi wote humu mtapata. Nisikie aminaaaaa....