Rahsully
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 234
- 390
🤣🤣🤣🤣🤣hii pepa ya leo nikitoboa mniite nyau..
🤣🤣🤣🤣🤣hii pepa ya leo nikitoboa mniite nyau..
Hivi hyo ndo Tpdc ilikuaje pepa em nichanue kwanzanishakandwa siku nyingi..
maswali yalikua 30 muda dk 30 ila kuanzia swali la kwanza mpaka la mwisho hakuna hata moja nililokua na idea nalo.bahati nzuri ni multiple choice vinginevyo ilikua zeroHivi hyo ndo Tpdc ilikuaje pepa em nichanue kwanza
Dhu kak inamaana walitoa nje modules au namna gani vipimaswali yalikua 30 muda dk 30 ila kuanzia swali la kwanza mpaka la mwisho hakuna hata moja nililokua na idea nalo.bahati nzuri ni multiple choice vinginevyo ilikua zero
acha tu kaka ni vitu ambavyo havieleweki chaajabu kuna mtu ana tisini.watu wachawi jamani acha tu..Dhu kak inamaana walitoa nje modules au namna gani vipi
Kwa pepa ya instrumentation Engineer II TPDCDhu kak inamaana walitoa nje modules au namna gani vipi
Ushauri...nenda eneo ulilopata cheti cha kuzaliwa ukabidilishe hicho cheti cha kuzaliwa ili majina yafanane na vyeti ni rahisi na haichukui muda...Naomba kuuliza kama vyeti vyote vinamajina kwamfano FRANK T MINJA kasoro cha kuzaliwa ambapo jina langu limeandikwa FRANK na lababa THOMAS MINJA KALOLO je hapo nahitaji kuthibitisha huyo ni mm au ni majina yapo sawa? Maana jina lababa kivyovyote kwenye cheti Cha kuzaliwa haliwez kuanzia na initial.
Nafasi moja hiyo ndo ya kwako mkuu, jipange vizuri, ( kujiamini ni muhimu sana) face to face hakuna kutazama chini 🔥🔥🔥🔥🔥.Yametoka nimeenda oral , sema nafasi ni moja alaf usaili unafanyikia ofisi za makumbusho dsm .. duh
Kati ya watu 204, oral wameenda 6 tuu 😂 Dah kazi ipo aisee 🙌Hapana sijakata tamaa.
ila imenipa moyo, maana nimepata 70, ila wamechukua kuanzia 79.(watu 6 tu kati ya 204)
Paper ilikuwa experience based.
Hatari sana Kwa hali hiyo unatakiwa uongeze Kasi isiyoyakawaidaacha tu kaka ni vitu ambavyo havieleweki chaajabu kuna mtu ana tisini.watu wachawi jamani acha tu..
Uko aral usikute pia Kuna mziki msichoke wakuu kazeni butiKwa pepa ya instrumentation Engineer II TPDC
1. Pepa ili base kwenye Sensors, Transducers, Transmitters, PLCs, DCS, SCADA, Safety, Mesurement & Errors etc.
2. Maswali yalihusisha kutoa solutions za Instrumentation Engineering Problems mfano PLC/DCS related problems
3. 30 Multiple choice questions, 40 Minute
Aiseee kazini kuna kazi ndugu yanguacha tu kaka ni vitu ambavyo havieleweki chaajabu kuna mtu ana tisini.watu wachawi jamani acha tu..
Nabadilishaje jina la baba? Hyo (T) inasimama kama jina la baba la mwanzo ambalo ni Thomas minja kalolo, Mimi langu ni Frank Sasa ukisema nibadilishe jina la baba liendane na Kwenye vyeti vingine maana yake liwe T MINJA KALOLO NASIO THOMAS MINJA KALOLO, swali ni kwamba hili linawezekana?Ushauri...nenda eneo ulilopata cheti cha kuzaliwa ukabidilishe hicho cheti cha kuzaliwa ili majina yafanane na vyeti ni rahisi na haichukui muda...
Kinyume na hapo itakusumbua mbeleni huko
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema 💥💥Wakuu nami nichukue wasaa huu kuwapa ushuhuda kuwa hatimaye nimefanikiwa kupata wito wa kuutumikia umma
Napenda sana kumshukuru Mungu maana kwa kweli mpk napata ujumbe wa Placed as ni miujiza tu. Safari yangu ilianza mwaka jana mwezi wa 8 zilipotangazwa nafasi za LGA na MDA nikapewa taarifa na Mama yangu mzazi sikuwa nimejisajili ajira portal baada ya msukumo mkubwa nikafungua tena zikiwa zimebaki siku chache deadline kufika hatimaye nikafanya maombi nikaachana nayo mwezi wa pili au watatu mwaka huu nikasema ngoja nichungulie, nilipofungua akaunti yangu nikaona nipo shortlisted sikuamini ila kwa kuwa muda wa kufanya written ulikuwa upo karibu ikabidi nikafate madesa ya chuo nilipoyaacha kweli nikafanikiwa nikaanza kupiga msuli japo mengi nilishayasahau maana ni takribani miaka minane sijawahi kukutana na madesa basi nikapiga msuli nikajitahidi kucover maeneo mengi nikazama kwenye pepa, kwenye pepa nikakuta kipengele nilichokipuuza kuwa hakitoki ndiyo huko pepa imetungwa ila Mungu mwema idea hazikuwa zimepotea nikajibu sikuacha swali hata moja japo pepa ilikuwa tight nikamaliza nikaendelea na mambo yangu
Baada ya muda nikasikia majibu yametoka nikapata hofu sana na kutokujiamini ila nikajipa moyo tu nikafungua, kuingia naona nimechaguliwa kwenda oral Dom, nilikuwa home mwenyewe nilikimbia ndani ya nyumba kwa furaha maana sikuamini basi nikaanza tena msuli ikabidi nitafute hadi madesa ya advance kuna app za notes za advance nikameza nikaandaa summary nikameza siku ya alhamis nikaenda Dom maana usaili ulikuwa ijumaa
Siku ya usaili tukagawanywa kama makundi zaidi ya 10 maana tulikuwa wengi kiasi na panel ilikuwa na watu kadhaa nikawapima wale wenzangu kama kwenye kundi letu wanatakiwa watu watano nami nimo, zamu yangu ilipofika nilihakikisha presha ipo chini kwa kunywa maji ndani mule maswali yalikuwa matano tu na kwa kweli Mungu alikuwa mwema nilijibu maswali yote kwa ufasaha nikamaliza pepa nikaamsha maana jpili yake nilikuwa na pepa za TRA
Basi ikabaki kusikilizia mikeka ikitoka naangalia nakuta hola pepa ya oral ilikuwa mwezi wa nne mikeka imetoka kadhaa yote simu hatimaye wiki hii siku ya jtano jioni nafungua akaunti nikaona notification nimeitwa sikuamini jtano huwa ninafanya ibada ya mfungo na siku nilidedicate kwa ajili ya majibu ya usaili na kweli maombi yangu yakajibiwa, nilipoona na nilikuwa sijafturu njaa yote iliisha, usiku usingizi wote ukapaa kila saa nachungulia kama kweli naona ni kweli
Basi nikamshukuru Mungu kwa kunitendea wema nimeapply mara moja nikaitwa written hiyohiyo oral mpk kuitwa kazini
Wale ambao bado msikate tamaa Mungu ni mwaminifu sana nanyi atawatendea msikate tamaa
Asante sana mkuu, kwangu tokea oral mpk placement imechukua karibu mweziHongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema 💥💥
ilichukua muda gani mkaanza kujiona kwenye mikeka baada ya kupig oral ??
Hongera Sana Mkuu ukawe mtumishi mwema 💥💥
ilichukua muda gani mkaanza kujiona kwenye mikeka baada ya kupig oral ??
Nabadilishaje jina la baba? Hyo (T) inasimama kama jina la baba la mwanzo ambalo ni Thomas minja kalolo, Mimi langu ni Frank Sasa ukisema nibadilishe jina la baba liendane na Kwenye vyeti vingine maana yake liwe T MINJA KALOLO NASIO THOMAS MINJA KALOLO, swali ni kwamba hili linawezekana?
JINA LAKO: FRANKNachofahamu ...Jina la Baba la Mwisho ambalo ni Minja ndio jina lako la mwisho sasa hapo kuna Kalolo ...Je hilo ni jina la nani tena?...la ukoo au la baba yake na babako.
Shukrani mkuu 🙏🙏 Ngoja tuendelee kusikilizia nasi tuje na shuhudaAsante sana mkuu, kwangu tokea oral mpk placement imechukua karibu mwezi