HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema
Endelea kujiandaa vizuri, ondoa hofu, vaa vizuri, na hakikisha maswali yote utakayoulizwa unayajibu huku ukiamini hiyo ni nafasi yako tu hata kama ni moja ukiweza mpe Bwana sadaka ya shukrani kwa hatua hii
Asantee sana Mkuu, nilisoma ushuhuda wako, ulinitia moyo sana. Mkuu nilianza mfungo wa siku 7 mpaka siku ya Jana naingia kwenye Pepa.

Nilitoa sadaka kipindi naingia kwenye Pepa, nilivyo Toka nikatoka sadaka ya shukurani kwa Imani nikiamini Mungu atanivusha kwenda oral

Matokeo yalivyotoka nikatoka pia sadaka ya shukurani asubuhi ya Leo. Naendelea na mfungo na Kujiandaa

Asantee Mkuu
 
Pm yangu inashda nashndwa kufungua njoeni watsap 0711406248
Assalam Allaykum,

Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni.

Daaah maisha haya. Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248

NB: Kuhusu bando natumia tunnel vpn
 
Back
Top Bottom