HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Asantee sana Mkuu, nilisoma ushuhuda wako, ulinitia moyo sana. Mkuu nilianza mfungo wa siku 7 mpaka siku ya Jana naingia kwenye Pepa.

Nilitoa sadaka kipindi naingia kwenye Pepa, nilivyo Toka nikatoka sadaka ya shukurani kwa Imani nikiamini Mungu atanivusha kwenda oral

Matokeo yalivyotoka nikatoka pia sadaka ya shukurani asubuhi ya Leo. Naendelea na mfungo na Kujiandaa

Asantee Mkuu
Amina mkuu, nami nitakuweka kwenye maombi Bwana atatenda
 
Wakuu nataka kubadili cheti Cha kidato Cha nne na Cha kuzaliwa, je naweza badili TU mwenyew au Hadi npge Simu utumishi kwanza wanisaidie kutoa ndo nipandishe vingne?
 
Watu wa admission officers mnafanya wapi saili zenu za written
 
Back
Top Bottom