El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,075
- 6,481
jamani nishakandwa uko.mlale salama..
Ha ha ha ila wee jamaa unafurahisha sana nimecheka sana japo siyo vizuri niwie radhi mkuujamani nishakandwa uko.mlale salama..
Kwani majukumu yao yanafanana ?Hakuna cha ajabu wote hapo wanakula TGTS D bachelor kwa entry level. Hizo allowance wanapata wenye vitengo vyao. Kijamba wima Kama mwl ni nadra.
Wameshapandisha mzigo?jamani nishakandwa uko.mlale salama..
kwenye portalWameshapandisha mzigo?
Ngoja nikaangalie kama nimekandwakwenye portal
Mbona mimi nimeingia oral zaidi ya mara 2 majina yakiwa na initial, wala sjasumbuliwaHii nililiona kwenye moja ya interview ya utumishi
Mfano
Kwenye nida mtua anaitwa
Muhidi Ahmed kibwana
Lakini kwenye vyeti vya kitaaluma
Wameandika
Muhid . A. Kibwana
Utumishi ,, waliwaambia watu kwamba kwenye written wataruhisiwa kuongia lakin kwenye oral interview itabidi waje na udhibitisho unaoonesha kuwa
Katika jina la
Muhid. A . kibwana
A ni Ahmed , nje na hapo vijana hao hawatoruhisiwa kuingia kwenye usahili wa mahojiano ..
Hivyo kama wewe ni miongoni mwa watu wenye ishu kama hii ni bora ukachukua hatua mapema kabla hayajakukuta
Kuna mwajiriwa ana two optionsSubiri matokeo. Inawezekana ukaambulia hata kimini (50)
hongera,tupo nyuma yakoWakuu nami nichukue wasaa huu kuwapa ushuhuda kuwa hatimaye nimefanikiwa kupata wito wa kuutumikia umma
Napenda sana kumshukuru Mungu maana kwa kweli mpk napata ujumbe wa Placed as ni miujiza tu. Safari yangu ilianza mwaka jana mwezi wa 8 zilipotangazwa nafasi za LGA na MDA nikapewa taarifa na Mama yangu mzazi sikuwa nimejisajili ajira portal baada ya msukumo mkubwa nikafungua tena zikiwa zimebaki siku chache deadline kufika hatimaye nikafanya maombi nikaachana nayo mwezi wa pili au watatu mwaka huu nikasema ngoja nichungulie, nilipofungua akaunti yangu nikaona nipo shortlisted sikuamini ila kwa kuwa muda wa kufanya written ulikuwa upo karibu ikabidi nikafate madesa ya chuo nilipoyaacha kweli nikafanikiwa nikaanza kupiga msuli japo mengi nilishayasahau maana ni takribani miaka minane sijawahi kukutana na madesa basi nikapiga msuli nikajitahidi kucover maeneo mengi nikazama kwenye pepa, kwenye pepa nikakuta kipengele nilichokipuuza kuwa hakitoki ndiyo huko pepa imetungwa ila Mungu mwema idea hazikuwa zimepotea nikajibu sikuacha swali hata moja japo pepa ilikuwa tight nikamaliza nikaendelea na mambo yangu
Baada ya muda nikasikia majibu yametoka nikapata hofu sana na kutokujiamini ila nikajipa moyo tu nikafungua, kuingia naona nimechaguliwa kwenda oral Dom, nilikuwa home mwenyewe nilikimbia ndani ya nyumba kwa furaha maana sikuamini basi nikaanza tena msuli ikabidi nitafute hadi madesa ya advance kuna app za notes za advance nikameza nikaandaa summary nikameza siku ya alhamis nikaenda Dom maana usaili ulikuwa ijumaa
Siku ya usaili tukagawanywa kama makundi zaidi ya 10 maana tulikuwa wengi kiasi na panel ilikuwa na watu kadhaa nikawapima wale wenzangu kama kwenye kundi letu wanatakiwa watu watano nami nimo, zamu yangu ilipofika nilihakikisha presha ipo chini kwa kunywa maji ndani mule maswali yalikuwa matano tu na kwa kweli Mungu alikuwa mwema nilijibu maswali yote kwa ufasaha nikamaliza pepa nikaamsha maana jpili yake nilikuwa na pepa za TRA
Basi ikabaki kusikilizia mikeka ikitoka naangalia nakuta hola pepa ya oral ilikuwa mwezi wa nne mikeka imetoka kadhaa yote simu hatimaye wiki hii siku ya jtano jioni nafungua akaunti nikaona notification nimeitwa sikuamini jtano huwa ninafanya ibada ya mfungo na siku nilidedicate kwa ajili ya majibu ya usaili na kweli maombi yangu yakajibiwa, nilipoona na nilikuwa sijafturu njaa yote iliisha, usiku usingizi wote ukapaa kila saa nachungulia kama kweli naona ni kweli
Basi nikamshukuru Mungu kwa kunitendea wema nimeapply mara moja nikaitwa written hiyohiyo oral mpk kuitwa kazini
Wale ambao bado msikate tamaa Mungu ni mwaminifu sana nanyi atawatendea msikate tamaa
dah hongera sana mkuuWakuu nami nichukue wasaa huu kuwapa ushuhuda kuwa hatimaye nimefanikiwa kupata wito wa kuutumikia umma

Asante sana mkuu, ninawaombea na nyie mfanikiwehongera,tupo nyuma yako
Asante mkuudah hongera sana mkuu
Mimi pia...jamani nishakandwa uko.mlale salama..
Hongera sana mkuu. Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya kwenye kulijenga taifa.Wakuu nami nichukue wasaa huu kuwapa ushuhuda kuwa hatimaye nimefanikiwa kupata wito wa kuutumikia umma
Napenda sana kumshukuru Mungu maana kwa kweli mpk napata ujumbe wa Placed as ni miujiza tu. Safari yangu ilianza mwaka jana mwezi wa 8 zilipotangazwa nafasi za LGA na MDA nikapewa taarifa na Mama yangu mzazi sikuwa nimejisajili ajira portal baada ya msukumo mkubwa nikafungua tena zikiwa zimebaki siku chache deadline kufika hatimaye nikafanya maombi nikaachana nayo mwezi wa pili au watatu mwaka huu nikasema ngoja nichungulie, nilipofungua akaunti yangu nikaona nipo shortlisted sikuamini ila kwa kuwa muda wa kufanya written ulikuwa upo karibu ikabidi nikafate madesa ya chuo nilipoyaacha kweli nikafanikiwa nikaanza kupiga msuli japo mengi nilishayasahau maana ni takribani miaka minane sijawahi kukutana na madesa basi nikapiga msuli nikajitahidi kucover maeneo mengi nikazama kwenye pepa, kwenye pepa nikakuta kipengele nilichokipuuza kuwa hakitoki ndiyo huko pepa imetungwa ila Mungu mwema idea hazikuwa zimepotea nikajibu sikuacha swali hata moja japo pepa ilikuwa tight nikamaliza nikaendelea na mambo yangu
Baada ya muda nikasikia majibu yametoka nikapata hofu sana na kutokujiamini ila nikajipa moyo tu nikafungua, kuingia naona nimechaguliwa kwenda oral Dom, nilikuwa home mwenyewe nilikimbia ndani ya nyumba kwa furaha maana sikuamini basi nikaanza tena msuli ikabidi nitafute hadi madesa ya advance kuna app za notes za advance nikameza nikaandaa summary nikameza siku ya alhamis nikaenda Dom maana usaili ulikuwa ijumaa
Siku ya usaili tukagawanywa kama makundi zaidi ya 10 maana tulikuwa wengi kiasi na panel ilikuwa na watu kadhaa nikawapima wale wenzangu kama kwenye kundi letu wanatakiwa watu watano nami nimo, zamu yangu ilipofika nilihakikisha presha ipo chini kwa kunywa maji ndani mule maswali yalikuwa matano tu na kwa kweli Mungu alikuwa mwema nilijibu maswali yote kwa ufasaha nikamaliza pepa nikaamsha maana jpili yake nilikuwa na pepa za TRA
Basi ikabaki kusikilizia mikeka ikitoka naangalia nakuta hola pepa ya oral ilikuwa mwezi wa nne mikeka imetoka kadhaa yote simu hatimaye wiki hii siku ya jtano jioni nafungua akaunti nikaona notification nimeitwa sikuamini jtano huwa ninafanya ibada ya mfungo na siku nilidedicate kwa ajili ya majibu ya usaili na kweli maombi yangu yakajibiwa, nilipoona na nilikuwa sijafturu njaa yote iliisha, usiku usingizi wote ukapaa kila saa nachungulia kama kweli naona ni kweli
Basi nikamshukuru Mungu kwa kunitendea wema nimeapply mara moja nikaitwa written hiyohiyo oral mpk kuitwa kazini
Wale ambao bado msikate tamaa Mungu ni mwaminifu sana nanyi atawatendea msikate tamaa
Kuhusu mshahara Halmashauri na Wizarani mshahara ni uleule. Fursa za Wizarani ni pamoja na safari za hapa na pale, extra-duty allowance pamoja na kazi maalum za hapa na pale hivyo una uhakika. Halmashauri inategemea ni halmashauri ya mji au wilaya na ukusanyaji wake wa mapato, advantage pekee ya kuwa halmashauri ni zile deals za hapa na pale. Bora aende wizarani.Kuna mwajiriwa ana two options
1. Kwenda kufanya kazi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya kitengo cha manunuzi
2. Kwenda kufanya kazi wizarani katika kitengo hicho hicho cha manunuzi.
Kwa uzoefu wako ungemshauri achague kwenda wapi kwenye manufaa zaidi ?
Asante sana mkuuHongera sana mkuu. Mungu akutangulie kwenye majukumu yako mapya kwenye kulijenga taifa.
Kama wametoa taarifa ya mabadiliko ya venue fuata mabadilikoNaomba kuuliza, kwa watu waliofanya usaili jana kada ya Afisa Ardhi, Oral inafanyika wapi? Kwenye Portal wameandika Dodoma ila kwenye tangazo la mabadiliko ya venue wameandika utafanyika kwenye kanda, je chakufuata ni portal au tangazo?
Hiyo elfu 10 ingia RITA omba cheti kipya chenye majina matatu.Simple way.......
Affidavit itapatikana kwa kwenda kuthibitisha kwa mwanasheria au mahakamani ukiwa na kitambulisho na vyeti vyako (cha kuzaliwa/vya taaluma).
Andaa elfu 5 au 10 ya muhuri.