John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,258
- 16,454
Hili n la muhimu sana maana unaanza kujitoa mchezon mwenywUzembe wa hali ya juu.
Unatakiwa ukague silaha kabla ya kusafiri, hata asubuhi ukiamka kwenda kwenye usaili kagua silaha huenda panya kanyofoa vingine, ukifika eneo la tukio kagua tena kabla wasimamizi hawajaanza kukagua.