HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah, mpaka kashfa tena?

Ukiitwa kazini kwa ile barua, kujaza taarifa zako na kusaini docs husika kwenye hiyo taasisi husika kwani si unakuwa tayari kwenye payroll hata kama utasubiri kwa miezi kadhaa ?

Ama haya mambo yakoje huko utumishini?
Ina depends na taasisi zingine unaacha copy utapigiwa simu apo chacha ndio kimbembe
 
Stages zote za mchakato wa ajira ni stressful
1. Kusubiri ajira zitangazwe-Stress.
2. Kusubiri kuwa shortlisted -Stress
3. Kufanya written - Stress
4. Kusubiri majibu ya written - Tension.
5. Kwenda oral -Anxiety
6. Kusubiri kupangiwa kazi - Stress
Hapo no 6 ni stress haswa na hapa utumishi inabidi warekebishe nafasi zinatangazwa mfano 130 umeita watu oral umekamilisha usaili waliofaulu umewapata si weka mkeka tena au tuma taarifa kwa wahusika umefaulu subirieni kupangiwa kazi kadri nafasi zinavyopatikana! na wale waliofeli wapewe taarifa kuliko kuwaacha wote hawajui aliyefaulu hajui aliyefeli hajui, na kuwaacha na stress kuchungulia mikeka kumbe mtu alifeli

Au utaratibu wao ukoje wakuu kwamba ukiingia oral ndiyo nitolee hiyo unasubiria kuitwa!?
 
Hapo no 6 ni stress haswa na hapa utumishi inabidi warekebishe nafasi zinatangazwa mfano 130 umeita watu oral umekamilisha usaili waliofaulu umewapata si weka mkeka tena au tuma taarifa kwa wahusika umefaulu subirieni kupangiwa kazi kadri nafasi zinavyopatikana! na wale waliofeli wapewe taarifa kuliko kuwaacha wote hawajui aliyefaulu hajui aliyefeli hajui, na kuwaacha na stress kuchungulia mikeka kumbe mtu alifeli

Au utaratibu wao ukoje kwamba wakuu, ukiingia oral ndiyo nitolee hiyo unasubiria kuitwa!?
Hapana Mkuu unaweza ingia Oral lakini usiitwe kazini
Lakini walisema mwaka huu watakuja na mfumo wa kujua kama upo kwenye kanzi data au aupo maana watu wengi wanapata ukakasi kuendelea na mchakato wa ajira nyingine wakitegemea kwamba wapi kanzi data mwisho wa siku amna kinacho tokea
 
WAKUU kesho ndo naingia interview yangu ya kwanza ya oral kwenye taasisi moja hivi kubwa mjini, naomba kujua tu tips hasa nikiwa mule ndani ya chumba kuanzia kuangia na kukaa na mambo mengne yote muhimu, lipi la kufanya na lipi niepuke kufanya kabla sijapewa ruhusa
 
1. Dont stress yourself
2. Amini what you have in mind na kubwa zaidi UJIAMINI
3. Vaa smart, usiwe mng'ao
4. Jitahidi kujibu maswali yote utakayouluzwa.
5. Swali la "tell us about yourself" ndo sehemu ya kukusaidia kutoa uwoga..jitahidi kudraft majibu ya hilo swali then rehearse severally hata mbele ya kioo
6. Maintain eye contact (japo kumtazama mtu machoni direct can be sqrcastic) inafaa zaidi kama unaweza ukawatazama katikati ya macho. Unapokuwa unajibu swali hakikisha unawatazama
7. Endapo utakuwa umeingia na umesimama muda kidogo hujaambiwa ukae, you can initiate them kwa kuwaambia "Can I please have a seat".
8. Umeulizwa swali hujasikia vizuri au hujalielewa au hauna points ko kidogo unataka ufikirie unaweza waomba warudie kuuliza swali au waliskip then wataliuliza baadae.
9. Yote juu ya yote mtangulize Mungu maana oral haina utaalam.

All the best, Mungu atangulie
 
Hapana Mkuu unaweza ingia Oral lakini usiitwe kazini
Lakini walisema mwaka huu watakuja na mfumo wa kujua kama upo kwenye kanzi data au aupo maana watu wengi wanapata ukakasi kuendelea na mchakato wa ajira nyingine wakitegemea kwamba wapi kanzi data mwisho wa siku amna kinacho tokea
Asante mkuu, huko kwenye database wanaingia watu gani kama unafahamu
 
Asante mkuu, huko kwenye database wanaingia watu gani kama unafahamu
Kwa ninavyo jua mtu anaweza ingia kwenye kanzi data endapo ikitokea watu walio fauru oral wapo kumi na Mwajiri anataka watu nane basi wale wawili watabaki kwenye kanzi data ivyo ikitokea nafasi nyingine watachukuliwa ao wali
Lakini ikitokea mme pata alama sawa basi vitu vifuatatavyo vitatumika kama vigezo ukiachana na alama
Umli apa yule mwenye umli mkubwa atapewa kipao mbele
Jinsia always lady is first
Ulemavu apa kwenye ulemavu lazima apewe kipaombele endapo akiwa ameweka taharifa za ulemavu wake kwenye ajiportal account
 
Nimetoka kuangalia matokeo ya written iliyofanyika nimeshangaa kwani nilizofanya ilikua na maswali 30 tu Sasa Kuna namna maksi zimekua very accurate hakuna decimal point Wala Nini sijui ni mfumo gani wanatumia kurate maksi?
Maana unakuta mtu ana 95, mwingine 94, 93, 92, 90, 89 88, 87, 86, 85 na kuendelea
Mtiani ulikua ni wa kuchagua rate ya kila swali kwa uwiano wa maksi mia ilikua ni 3.33@swali
Je ni mfumo gani wanatumia PSRS kurate maksi online?
Mwenye ujuzi atueleweshe tuwe na mbinu sahihi ya kuziaproach hizi online interview.
 
Tuliwa kuongelea hili jambo umu ndani lakini mwisho atukufikia mwafaka Kuna mdau alisema kwamba Kuna maswali yanakuwa na alama kubwa kuliko mengine ivyo ndio maana watu wanapata alama tasa au witiri
 
Back
Top Bottom